Yoshua 13

Sehemu Za Kanaani Ambazo Hazijatwaliwa 1 Yoshua alipokuwa mzee na umri wake ukiwa umesogea sana,Bwanaakamwambia, “Wewe ni mzee sana, na bado kumesalia sehemu kubwa sana za nchi ambazo ni za kutwaliwa. 2 “Haya ndiyo maeneo ambayo bado hayajatekwa: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri: 3 Eneo hili linaanzia Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea […]

Yoshua 14

Mgawanyo Wa Nchi Magharibi Mwa Yordani 1 Basi haya ndiyo maeneo Waisraeli waliyopokea kama urithi katika nchi ya Kanaani, ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliwagawia. 2 Urithi wao uligawanywa kwa kura kwa yale makabila tisa na nusu, kamaBwanaalivyomwagiza Mose. 3 Mose alikuwa amewapa yale makabila […]

Yoshua 15

Mgawo Kwa Yuda 1 Mgawo kwa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo, ulishuka kufikia nchi ya Edomu, hadi Jangwa la Sini mwisho kabisa upande wa kusini. 2 Mpaka wao wa kusini ulianzia kwenye ghuba iliyoko kwenye ncha ya kusini mwa Bahari ya Chumvi, 3 ukakatiza kusini mwa Akrabimu, ukaendelea hadi Sini ukaenda hadi kusini mwa […]

Yoshua 16

Mgawo Kwa Ajili Ya Efraimu Na Manase 1 Mgawanyo wa Yosefu ulianzia Yordani ya Yeriko, mashariki mwa miji ya Yeriko na kutoka hapo ulipanda kupitia jangwani na kuingia katika nchi ya vilima ya Betheli. 2 Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia nchi ya Waariki huko Atarothi, 3 ukatelemkia kuelekea magharibi hadi nchi ya Wayafleti […]

Yoshua 17

Mgawo Wa Nusu Nyingine Ya Manase Upande Wa Magharibi 1 Huu ndio mgawo wa kabila la Manase kama mzaliwa wa kwanza wa Yosefu, yaani kwa ajili ya Makiri, mzaliwa wa kwanza wa Manase. Makiri alikuwa baba wa Wagileadi, ambao walipokea Gileadi na Bashani kwa sababu Wamakiri walikuwa askari wakuu. 2 Kwa hiyo mgawo huu ulikuwa […]

Yoshua 18

Mgawanyo Wa Nchi Iliyobaki 1 Kusanyiko lote la Waisraeli likakusanyika huko Shilo na kusimamisha Hema ya Mkutano. Nchi ikawa chini ya utawala wao, 2 lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao. 3 Hivyo Yoshua akawaambia Waisraeli, “Je, mtasubiri hata lini ili kuingia kumiliki nchi ambayoBwana, Mungu wa baba zenu, amewapa? […]

Yoshua 19

Mgawo Kwa Simeoni 1 Kura ya pili ikaangukia kabila la Simeoni, ukoo kwa ukoo. Urithi wao ulikuwa ndani ya nchi ya Yuda. 2 Ulijumuisha: Beer-Sheba (au Sheba), Molada, 3 Hasar-Shuali, Bala na Esemu, 4 Eltoladi, Bethuli, Horma, 5 Siklagi, Beth-Markabothi, Hazar-Susa, 6 Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. […]

Yoshua 20

Miji Ya Makimbilio 1 NdipoBwanaakamwambia Yoshua, 2 “Waambie Waisraeli, watenge miji ya kukimbilia, kama nilivyokuamuru kupitia Mose, 3 ili mtu ye yote atakayemwua mtu kwa bahati mbaya na pasipokukusudia aweze kukimbilia huko na kujiepusha na mlipiza kisasi cha damu. 4 “Anapokimbilia mojawapo ya miji hii, atasimama kwenye maingilio ya lango la mji na kueleza wazee […]

Yoshua 21

Miji Kwa Ajili Ya Walawi 1 Basi viongozi wa jamaa ya Walawi, wakamwendea kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa jamaa nyingine za makabila ya Israeli 2 huko Shilo katika Kanaani na kuwaambia, “Bwanaaliagiza kupitia Mose kuwa mtupe miji ya kuishi yenye sehemu za malisho kwa ajili ya mifugo yetu.” 3 Hivyo kama […]

Yoshua 22

Makabila Ya Mashariki Yarudi Nyumbani 1 Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, 2 naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Mose mtumishi waBwanaaliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. 3 Kwa muda mrefu sasa, hadi siku hii ya leo, hamkuwaacha ndugu zenu, bali ninyi mmetimiza ile kaziBwanaMungu wenu aliyowapa. 4 Sasa kwa […]