Yoshua 23

Yoshua Anawaaga Viongozi 1 Baada ya muda mrefu kupita, nayeBwanaalikuwa amewapa Israeli raha mbele ya adui zao wote waliowazunguka, Yoshua, wakati huo alikuwa mzee na umri ukiwa umeendelea sana, 2 akawaita Israeli wote, wazee wao, viongozi, waamuzi na maafisa wao, na kuwaambia: “Mimi ni mzee na umri umeendelea sana. 3 Ninyi wenyewe mmeona kila kituBwanaMungu […]

Yoshua 24

Agano Lafanywa Upya Huko Shekemu 1 Ndipo Yoshua akaita pamoja makabila yote ya Israeli huko Shekemu. Akawaita wazee, viongozi, waamuzi na maafisa wa Israeli, nao wakaja mbele za Mungu. 2 Yoshua akawaambia watu wote, “Hili ndiloBwana, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Hapo zamani baba zenu, pamoja na Tera baba yake Abrahamu na Nahori, waliishi ng’ambo ya […]

Kumbukumbu La Torati 2

Kutangatanga Jangwani 1 Kisha tukageuka nyuma na kusafiri kuelekea jangwani kwa njia inayoelekea Bahari ya Shamu, kamaBwanaalivyonielekeza. Kwa muda mrefu tulitembea kuzunguka vilima katika nchi ya Seiri. 2 KishaBwanaakaniambia, 3 “Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini. 4 Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya […]

Kumbukumbu La Torati 3

Kushindwa Kwa Ogu Mfalme Wa Bashani 1 Kisha tukageuka tukakwea kufuata barabara iliyoelekea Bashani, Ogu mfalme wa Bashani akaondoka na jeshi lake lote kupigana na sisi huko Edrei. 2 Bwanaakaniambia, “Usimwogope kwa kuwa nimekwisha mkabidhi mikononi mwako pamoja na jeshi lake lote na nchi yake. Umfanyie sawasawa na ulivyomfanyia Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala […]

Kumbukumbu La Torati 4

Waamriwa Utii 1 Sikia sasa, Ee Israeli, amri na sheria nitakazokufundisha wewe. Zifuate ili upate kuishi na uingie kuimiliki nchi ambayoBwana, Mungu wa baba zako anawapa. 2 Usiongeze wala usipunguze cho chote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo yaBwanaMungu wenu ambayo nawapa. 3 Mliona kwa macho yenu wenyewe kileBwanaalichokifanya kule Baal-Peori.BwanaMungu wenu aliwaangamiza kutoka miongoni mwenu […]

Kumbukumbu La Torati 6

Mpende Bwana Mungu Wako 1 Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazoBwanaMungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki, 2 ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamcheBwanaMungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu. 3 […]

Kumbukumbu La Torati 7

Kuyafukuza Mataifa 1 BwanaMungu wako akuletapo katika nchi unayoiingia ili kuimiliki na awafukuzapo mbele yako mataifa mengi, yaani, Wahiti, Wagirgashi, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, mataifa saba makubwa tena yenye nguvu kuliko wewe, 2 piaBwanaMungu wako atakapowatia mkononi mwako na ukawashinda, basi ni lazima uwaangamize wote kabisa. Usifanye agano nao, usiwahurumie. 3 Usioane nao. […]

Kumbukumbu La Torati 8

Usimsahau Bwana 1 Uwe mwangalifu kufuata kila agizo ninalokupa wewe leo, ili mweze kuishi, kuongezeka na mweze kuingia mkamiliki nchi ambayoBwanaaliahidi kwa kiapo kwa baba zenu. 2 Kumbuka jinsiBwanaMungu wenu alivyowaongoza katika njia yote katika jangwa kwa miaka hii arobaini, kukunyenyekeza na kukujaribu ili ajue lililoko moyoni mwako, kwamba utayashika maagizo yake au la. 3 […]