Kumbukumbu La Torati 10

Vibao Vingine Vya Amri Kumi 1 Wakati uleBwanaaliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao. 2 Nitaandika juu ya vibao maneno yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza, ambavyo ulivivunja. Kisha utaviweka ndani ya Sanduku.” 3 Hivyo nikatengeneza Sanduku kwa mti wa mshita, nikachonga pia […]

Kumbukumbu La Torati 13

Kuabudu Miungu Mingine 1 Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu, 2 ikiwa ishara au ajabu ya aliyozungumza ikatokea, naye akasema, “Na tufuate miungu mingine” (miungu ambayo hamjaifahamu) “na tuiabudu,” 3 kamwe msiyasikilize maneno ya nabii wala mwota ndoto huyo.BwanaMungu wenu anawajaribu kuangalia […]

Kumbukumbu La Torati 15

Mwaka Wa Kufuta Madeni 1 Kila mwisho wa miaka saba ni lazima mfute madeni. 2 Hivi ndivyo itakavyofanyika: Kila mkopeshaji atafuta mkopo aliomkopesha Mwisraeli mwenzake. Hatamtaka Mwisraeli mwenzake au ndugu yake amlipe hilo deni, kwa sababu wakati waBwanawa kufuta madeni umetangazwa. 3 Unaweza kudai malipo kwa mgeni, lakini lazima ufute kila deni ambalo ndugu yako […]