Hesabu 35

Miji Kwa Ajili Ya Walawi 1 Bwanaakamwambia Mose katika nchi tambarare ya Moabu, kando ya Mto Yordani kuvukia Yeriko, 2 “Waagize Waisraeli kuwapa Walawi miji ya kuishi kutoka urithi ambao Waisraeli wataumiliki. Wape maeneo ya malisho kuzunguka hiyo miji. 3 Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ng’ombe zao, […]

Hesabu 36

Urithi Wa Binti Za Selofehadi 1 Viongozi wa jamaa ya ukoo wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase, ambao walikuwa wametoka katika koo za wazao wa Yosefu, walikuja na kuzungumza mbele ya Mose na viongozi, wakuu wa jamaa ya Waisraeli. 2 Wakasema, “WakatiBwanaalipomwamuru bwana wangu kuwapa Waisraeli nchi kama urithi kwa kura, alikuamuru kutoa […]

Mambo ya Walawi 4

Sadaka Ya Dhambi 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli: ‘Mtu ye yote afanyapo dhambi bila kukusudia na akatenda lile lililokatazwa katika amri yo yote yaBwana: 3 “ ‘Ikiwa kuhani aliyetiwa mafuta amefanya dhambi na kuwaletea watu hatia, lazima alete kwaBwanafahali mchanga asiye na dosari, kuwa sadaka ya dhambi kwa ajili ya dhambi aliyotenda. 4 Atamkabidhi […]

Mambo ya Walawi 6

Kurudisha Kilichochukuliwa 1 Bwanaakamwambia Mose: 2 “Kama mtu ye yote akitenda dhambi naye si mwaminifu kwaBwanakwa kumdanganya jirani yake kuhusu kitu fulani alichokabidhiwa au kimeachwa chini ya utunzaji wake au kimeibwa, au kama akimdanganya, 3 au akiokota mali iliyopotea na akadanganya au kuapa kwa uongo, au kama akitenda dhambi yo yote ambayo watu waweza kuitenda; […]

Mambo ya Walawi 8

Kuwekwa Wakfu Kwa Aroni Na Wanawe 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Mletee Aroni na wanawe mavazi yao, mafuta ya upako, fahali kwa ajili ya sadaka ya dhambi, kondoo waume wawili na kikapu chenye mikate iliyotengenezwa bila chachu, 3 kisha kusanya mkutano wote kwenye ingilio la Hema la Kukutania.” 4 Mose akafanya kamaBwanaalivyomwagiza, mkutano ukakusanyika kwenye ingilio […]