Sheria Mbalimbali 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Iweni watakatifu kwa sababu Mimi,BwanaMungu wenu, ni mtakatifu. 3 “ ‘Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimiBwanaMungu wenu. 4 “ ‘Msiabudu sanamu, wala msijitengenezee miungu ya shaba. Mimi […]
Monthly Archives: July 2017
Mambo ya Walawi 20
Adhabu Kwa Ajili Ya Dhambi 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Sema na wana wa Israeli: ‘Mwisraeli ye yote au mgeni anayeishi katika Israeli ambaye atamtoa ye yote miongoni mwa watoto wake kuwa sadaka kwa mungu Moleki, mtu huyo lazima auawe. Watu wa jumuiya hiyo watampiga kwa mawe. 3 Mimi nitauelekeza uso wangu dhidi ya mtu huyo, […]
Mambo ya Walawi 21
Sheria Kwa Ajili Ya Makuhani 1 Bwanaakamwambia Mose, “Sema na makuhani, wana wa Aroni, uwaambie: ‘Kwa utaratibu wa kiibada kamwe kuhani asijitie unajisi kwa ajili ya kugusa maiti ya mtu wake ye yote, 2 isipokuwa maiti ya jamaa yake wa karibu, kama vile mama yake au baba yake, mwanawe au binti yake, ndugu yake, 3 […]
Mambo ya Walawi 22
Matumizi Ya Sadaka Takatifu 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Mwambie Aroni na wanawe kushughulikia kwa uangalifu sadaka takatifu Waisraeli wanazoziweka wakfu kwangu, ili wasilinajisi Jina langu takatifu. Mimi ndimiBwana. 3 “Waambie: ‘Katika vizazi vijavyo, ikiwa ye yote wa wazao wako ni najisi kwa taratibu za kiibada, naye akakaribia sadaka takatifu Waisraeli wanazoziweka wakfu kwaBwana, mtu huyo […]
Mambo ya Walawi 23
Sikukuu Zilizoamuriwa 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Hizi ndizo sikukuu zangu zilizoamuriwa, sikukuu zilizoamuriwa zaBwana, ambazo mtazitangaza kuwa makusanyiko matakatifu. Sabato 3 “ ‘Kuna siku sita mnazoweza kufanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, siku ya kusanyiko takatifu. Hamtafanya kazi yo yote, po pote mnapoishi, ni Sabato kwaBwana. […]
Mambo ya Walawi 24
Mafuta Na Mikate Mbele Za Bwana 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Waagize Waisraeli wakuletee mafuta safi yaliyokamuliwa ya zeituni kwa ajili ya mwanga ili kwamba taa ziwe zinawaka mfululizo. 3 Nje ya pazia la Ushuhuda ndani ya Hema la Kukutania, Aroni ataziwasha taa mbele zaBwanakuanzia jioni hadi asubuhi kwa mfululizo. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa […]
Mambo ya Walawi 25
Mwaka Wa Sabato 1 Bwanaakamwambia Mose katika Mlima Sinai, 2 “Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapa ninyi, nchi yenyewe ni lazima ishike Sabato kwa ajili yaBwana. 3 Kwa miaka sita mtapanda mazao katika mashamba yenu, nanyi kwa miaka sita mtaikata mizabibu yenu matawi na kuvuna mazao yake. 4 Lakini mwaka wa saba […]
Mambo ya Walawi 26
Thawabu Ya Utii 1 “ ‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, mnara, wala jiwe la kuabudia, pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimiBwanaMungu wenu. 2 “ ‘Zishikeni Sabato zangu na kuheshimu mahali patakatifu pangu. Mimi ndimiBwana. 3 “ ‘Ikiwa mtafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii maagizo yangu, […]
Mambo ya Walawi 27
Kukomboa Kile Kilicho Cha Bwana 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Kama mtu ye yote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwaBwana, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana, 3 thamani ya mwanaume mwenye kati ya umri wa miaka ishirini na miaka sitini atakombolewa kwa shekeli hamsiniza fedha, kulingana na shekeli ya […]
Kutoka 1
Waisraeli Waonewa 1 Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli ambao walikwenda Misri na Yakobo, kila mmoja akiwa pamoja na jamaa yake: 2 Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda; 3 Isakari, Zabuloni na Benyamini; 4 Dani na Naftali; Gadi na Asheri. 5 Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri. 6 Basi […]