Haki Na Rehema, Sio Kufunga 1 Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Dario, neno laBwanalilimjia Zekaria siku ya nne ya mwezi wa tisa, mwezi wa Kisleu. 2 Watu wa Betheli walikuwa wamemtuma Shareza na Regam-Meleki pamoja na watu wao, kumsihiBwana 3 kwa kuwauliza makuhani wa nyumba yaBwanaMwenye Nguvu Zote na manabii, “Je, imempasa […]
Monthly Archives: July 2017
Zekaria 8
Bwana Anaahidi Kuibariki Yerusalemu 1 Neno laBwanaMwenye Nguvu Zote likanijia tena. 2 Hili ndilo asemaloBwanaMwenye Nguvu Zote: “Nina wivu sana kwa ajili ya Sayuni, ninawaka wivu kwa ajili yake.” 3 Hili ndilo asemaloBwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima waBwanaMwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.” 4 Hili ndilo […]
Zekaria 9
Hukumu Juu Ya Adui Za Israeli Neno 1 Neno laBwanaliko kinyume na nchi ya Hadraki na Dameski itakuwa mahali pa kupumzika, kwa kuwa macho ya watu na ya kabila zote za Israeli yako kwaBwana, 2 pia juu ya Hamathi inayopakana nayo, juu ya Tiro na Sidoni, ingawa wana ujuzi mwingi sana. 3 Tiro amejijengea ngome […]
Zekaria 10
Bwana Ataitunza Yuda 1 MwombeniBwanamvua wakati wa vuli; ndiyeBwanaatengenezaye mawingu ya tufani. Huwapa watu manyunyu ya mvua, pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. 2 Sanamu huzungumza udanganyifu, waaguzi huona maono ya uongo; husimulia ndoto ambazo si za kweli, wanatoa faraja batili. Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo walioonewa kwa kukosa mchungaji. 3 […]
Zekaria 11
1 Fungua milango yako, Ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! 2 Piga yowe, Ee mti wa msunobari, kwa kuwa mwerezi umeanguka; miti ya fahari imeharibiwa! Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, msitu mnene umefyekwa! 3 Sikiliza yowe ya wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa! Wachungaji […]
Zekaria 12
Maadui Wa Yerusalemu Kuangamizwa 1 Hili ni neno laBwanakuhusu Israeli.Bwana, yeye azitandaye mbingu, awekaye misingi ya dunia na aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake, asema: 2 “Nitakwenda kufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewalewa kwa mataifa yote yanayoizunguka. Yuda utazingirwa kwa vita na Yerusalemu pia. 3 Katika siku hiyo, wakati mataifa yote ya dunia yatakapokusanyika dhidi […]
Zekaria 13
Kutakaswa Dhambi 1 “Katika siku hiyo, chemchemi itafunguliwa kwa nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu, kuwatakasa dhambi na unajisi. 2 “Katika siku hiyo, nitayakatilia mbali majina ya sanamu kutoka nchi, nayo hayatakumbukwa tena,” asemaBwanaMwenye Nguvu Zote. “Nitaondoa manabii wao pamoja na roho ya uchafu katika nchi. 3 Ikiwa yupo ye yote atakayeendelea kutabiri, baba […]
Zekaria 14
Bwana Yuaja Kutawala 1 Siku yaBwanainakuja ambayo nyara zilizotekwa kwenu zitagawanywa miongoni mwenu. 2 Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini. 3 KishaBwanaatatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya […]
Hagai 1
Wito Wa Kuijenga Nyumba Ya Bwana 1 Katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario wa Uajemi, katika siku ya kwanza ya mwezi wa sita, neno laBwanalilikuja kupitia kwa nabii Hagai kwenda kwa Zerubabeli mwana wa Shealtieli, mtawala wa Yuda na kwa Kuhani Mkuu Yoshuamwana wa Yehosadaki: 2 Hivi ndivyo asemavyoBwanaMwenye Nguvu Zote: “Hawa […]
Hagai 2
Utukufu Ulioahidiwa Wa Nyumba Mpya 1 Katika siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba, neno laBwanalilikuja kupitia nabii Hagai, kusema, 2 “Sema na Zerubabeli mwana wa Shealtieli, mtawala wa Yuda, Kuhani Mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki na mabaki ya watu. Uwaulize, 3 ‘Ni nani miongoni mwenu aliyebaki ambaye aliiona hii nyumba katika utukufu […]