Sefania 1

1 Neno laBwanaambalo lilimjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda: Onyo La Maangamizi Yanayokuja 2 Bwanaasema, “Nitafagia kila kitu kutoka kwenye uso wa dunia.” 3 “Nitafagilia mbali watu na wanyama; nitafagilia mbali ndege wa angani na samaki […]

Sefania 2

1 Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu, 2 kabla ya wakati ulioamuriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali yaBwanahaijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu yaBwana haijaja juu yenu. 3 MtafuteniBwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi, ninyi ambao hufanya lile analoamuru. Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu; labda mtahifadhiwa siku […]

Sefania 3

Hatima Ya Yerusalemu 1 Ole wa mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi! 2 Hautii mtu ye yote, haukubali maonyo. HaumtumainiBwana, haukaribii karibu na Mungu wake. 3 Maafisa wake ni simba wangurumao, watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni, ambao hawabakizi cho chote kwa ajili ya asubuhi. 4 Manabii wake ni wenye kiburi, ni wadanganyifu. […]

Habakuki 1

1 Neno alilopokea nabii Habakuki. Lalamiko La Habakuki 2 EeBwana, hata lini nitakuomba msaada, lakini wewe husikilizi? Au kukulilia, “Udhalimu!” Lakini hutaki kuokoa? 3 Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma? Kwa nini unavumilia makosa? Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu; kuna mabishano na mapambano kwa wingi. 4 Kwa hiyo sheria imepotoshwa, nayo haki haipo kabisa. Waovu […]

Habakuki 2

1 Nitasimama katika zamu yangu na kujiweka mwenyewe juu ya maboma; nitatazama nione atakaloniambia, na ni jibu gani nitakalotoa kuhusu lalamiko hili. Jibu La Bwana 2 KishaBwanaakajibu: “Andika ufunuo huu na ukaufanye wazi juu ya vibao ili mpiga mbiu akimbie nao. 3 Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika; unazungumzia mambo ya mwisho na kamwe […]

Habakuki 3

Maombi Ya Habakuki 1 Sala ya nabii Habakuki iliyoimbwa kwa shigionothi. 2 Bwana, nimezisikia sifa zako, nami naogopa, EeBwana. Fufua kazi yako katikati ya miaka, katikati ya miaka tangaza habari yako; katika ghadhabu kumbuka rehema. 3 Mungu alitoka Temani, yeye aliye Mtakatifu kutoka Mlima Parani. Utukufu wake ulifunika mbingu na sifa zake zikaifunika dunia. 4 […]

Nahumu 1

1 Neno alilosema Mungu kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono cha Nahumu, Mwelkoshi. Hasira Ya Mungu Dhidi Ya Ninawi 2 Bwanani mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; Bwanahulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. Bwanahulipiza kisasi juu ya watesi wake, naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake. 3 Bwanasi mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu, Bwanahataacha […]

Nahumu 2

Ninawi Kuanguka 1 Mshambuliaji anasogea dhidi yako, Ninawi. Linda ngome, chunga barabara, jitieni nguvu wenyewe, kusanya nguvu zako zote! 2 Bwanaatarudisha fahari ya Yakobo, kama fahari ya Israeli, ingawa waangamizi wamewaacha ukiwa na wameharibu mizabibu yao. 3 Ngao za askari wake ni nyekundu, mashujaa wamevaa nguo nyekundu. Chuma kwenye magari ya vita chametameta, katika siku […]

Nahumu 3

Ole Wa Ninawi 1 Ole wa mji umwagao damu, uliojaa uongo, umejaa nyara, usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara. 2 Kelele za mijeledi, vishindo vya magurudumu, farasi waendao mbio na mshtuo wa magari ya vita! 3 Wapanda farasi wanaenda mbio, panga zinameremeta, na mikuki inang’aa! Majeruhi wengi, marundo ya maiti, idadi kubwa ya miili […]

Mika 1

1 Neno laBwanalilimjia Mika, Mmorashti, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. 2 Sikia, Ee mataifa, enyi nyote, sikilizeni, Ee dunia na wote mliomo ndani yake, iliBwanaMwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu 3 Tazama!Bwanaanakuja kutoka makao […]