Yeremia 19

Gudulia La Udongo Lililovunjika 1 Hili ndilo asemaloBwana: “Nenda ukanunue gudulia la udongo kutoka kwa mfinyanzi. Wachukue baadhi ya wazee wa watu na wa makuhani 2 na mtoke mwende mpaka kwenye Bonde la Ben-Hinomu, karibu na ingilio la Lango la Vigae. Huko tangaza maneno ninayokuambia, 3 nawe useme, ‘Sikieni neno laBwana, enyi wafalme wa Yuda […]

Yeremia 20

Yeremia Ateswa Na Pashuri 1 Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu laBwana, alipomsikia Yeremia akitoa unabii juu ya mambo haya, 2 akaamuru Yeremia nabii apigwe na kufungwa katika mkatale katika Lango la Juu la Benyamini katika Hekalu laBwana. 3 Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “Bwanahakukuita […]

Yeremia 21

Mungu Anakataa Ombi La Sedekia 1 Neno lilimjia Yeremia kutoka kwaBwanawakati Mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkiya na kuhani Sefania mwana wa Maaseya kwake kusema: 2 “Tuulizie sasa kwaBwanakwa sababu Nebukadneza mfalme wa Babeli anatushambulia. LabdaBwanaatatenda maajabu kwa ajili yetu kama nyakati zilizopita ili Nebukadneza atuondokee.” 3 Lakini Yeremia akawajibu, “Mwambieni Sedekia, 4 ‘Hili […]

Yeremia 22

Hukumu Dhidi Ya Wafalme Waovu 1 Hili ndilo asemaloBwana: “Shuka kwenye jumba la kifalme la mfalme wa Yuda na utangaze ujumbe huu huko: 2 ‘Sikia neno laBwana, Ee mfalme wa Yuda, wewe uketiye kwenye kiti cha enzi cha Daudi, wewe, maafisa wako na watu wako mnaokuja kwa kupitia malango haya. 3 Hili ndiloBwanaasemalo: Tenda kwa […]

Yeremia 23

Tawi La Haki 1 “Ole wa wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” AsemaBwana. 2 Kwa hiyo hili ndiloBwana, Mungu wa Israeli, analowaambia wachungaji wanaowachunga watu wangu: “Kwa sababu mmelitawanya kundi langu, na kuwafukuzia mbali wala hamkuwatunza, basi mimi nitawaadhibu kwa ajili ya uovu mliofanya,” asemaBwana. 3 “Mimi mwenyewe nitayakusanya mabaki ya kundi langu […]

Yeremia 24

Vikapu Viwili Vya Tini 1 Baada ya Yekoniamwana wa Yehoyakimumfalme wa Yuda pamoja na maafisa, mafundi stadi na wahunzi wa Yuda kuchukuliwa kutoka Yerusalemu kwenda Babeli na Nebukadneza mfalme wa Babeli kwenda uhamishoni huko Babeli,Bwanaakanionyesha vikapu viwili vya tini vilivyowekwa mbele ya Hekalu laBwana. 2 Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama zile za […]

Yeremia 25

Miaka Sabini Ya Kuwa Mateka 1 Neno likamjia Yeremia kuhusu watu wote wa Yuda katika mwaka wa nne wa kutawala kwake Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa utawala wa Nebukadneza mfalme wa Babeli. 2 Hivyo nabii Yeremia akawaambia watu wote wa Yuda na wale wote waishio Yerusalemu: 3 […]

Yeremia 26

Yeremia 1 Mwanzoni mwa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilikuja kutoka kwaBwana: 2 “Hili ndiloBwanaasemalo: Simama katika ua wa nyumba yaBwanana useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba yaBwana. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno. 3 Huenda watasikiliza na kila mmoja akageuka kutoka katika […]

Yeremia 27

Yuda Kumtumikia Nebukadneza 1 Mwanzoni mwa utawala wa Sedekia mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilimjia Yeremia kutoka kwaBwana: 2 Hili ndiloBwanaaliloniambia: “Tengeneza nira, ujivike shingoni mwako uifunge kwa kamba za ngozi. 3 Kisha utume ujumbe kwa wafalme wa Edomu, Moabu, Amoni, Tiro na Sidoni kupitia wajumbe ambao wamekuja Yerusalemu kwa Sedekia mfalme […]

Yeremia 28

Hanania Nabii Wa Uongo 1 Katika mwezi wa tano wa mwaka ule ule, yaani mwaka wa nne, mwanzoni mwa utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda, nabii Hanania mwana wa Azuri, ambaye alitoka Gibeoni, akaniambia katika nyumba yaBwanambele ya makuhani na watu wote: 2 “Hili ndiloBwanaMwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli asemalo: ‘Nitaivunja nira ya mfalme […]