Ujumbe Kuhusu Amoni 1 Kuhusu Waamoni: Hili ndilo asemaloBwana: “Je, Israeli hana wana? Je, hana warithi? Kwa nini basi Moleki amechukua milki ya Gadi? Kwa nini watu wake wanaishi katika miji yake? 2 Lakini siku zinakuja,” asemaBwana, “nitakapopiga kelele ya vita dhidi ya Raba mji wa Waamoni; utakuwa kilima cha magofu, navyo vijiji vinavyouzunguka vitateketezwa […]
Monthly Archives: July 2017
Yeremia 50
Ujumbe Kuhusu Babeli 1 Hili ndilo neno alilosemaBwanakupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo: 2 “Tangazeni na mhubiri katikati ya mataifa, twekeni bendera na mkahubiri; msiache kitu cho chote, bali semeni, ‘Babeli utatekwa; Beli ataaibishwa, Merodaki atajazwa na hofu kuu. Sanamu zake zitaaibishwa na vinyago vyake vitajazwa hofu kuu.’ 3 Taifa kutoka kaskazini […]
Yeremia 51
1 Hili ndilo asemaloBwana: “Tazama nitaamsha roho ya mwangamizi # dhidi ya Babeli na watu wakaao Leb-Kamai. 2 Nitawatuma wageni Babeli kumpepeta na kuiharibu nchi yake; watampinga kila upande katika siku ya maafa yake. 3 Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa. […]
Yeremia 52
Anguko La Yerusalemu 1 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna. 2 Alifanya maovu machoni paBwana, kama vile alivyokuwa amefanya Yehoyakimu. 3 Ilikuwa ni kwa sababu ya hasira yaBwanakwamba haya yote yalitokea […]
Isaya 1
1 Maono kuhusu Yuda na Yerusalemu ambayo Isaya mwana wa Amozi aliyaona wakati wa utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda. Taifa Asi 2 Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maanaBwanaamesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi. 3 Ng’ombe anamjua bwana wake, naye punda anajua hori la mmiliki wake, lakini […]
Isaya 2
Mlima Wa Bwana 1 Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu: 2 Katika siku za mwisho mlima wa Hekalu laBwanautaimarishwa kama mlima mkuu miongoni mwa milima, utainuliwa juu kupita vilima na mataifa yote yatamiminika huko. 3 Mataifa mengi yatakuja na kusema, “Njoni na tuupande mlima waBwana, kwenye nyumba ya Mungu wa […]
Isaya 3
Hukumu Juu Ya Yerusalemu Na Yuda. 1 Tazama sasa, Bwana,BwanaMwenye Nguvu Zote, yu karibu kuwaondolea Yerusalemu na Yuda upatikanaji wa mahitaji na misaada, upatikanaji wote wa chakula na maji, 2 shujaa na mtu wa vita, mwamuzi na nabii, mwaguzi na mzee, 3 jemadari wa kikosi cha watu hamsini na mtu mwenye cheo, mshauri, fundi stadi […]
Isaya 4
1 Katika siku ile wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, “Tutakula chakula chetu wenyewe na kuvaa nguo zetu wenyewe, ila wewe uturuhusu tu tuitwe kwa jina lako. Utuondolee aibu yetu!” Tawi La Bwana 2 Katika siku ile Tawi laBwanalitakuwa zuri na lenye utukufu, nalo tunda la nchi litakuwa fahari na utukufu wa wale Waisraeli watakaonusurika. […]
Isaya 5
Wimbo Wa Shamba La Mizabibu 1 Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye kuhusu shamba lake la mizabibu: Mpendwa wangu alikuwa na shamba la mizabibu kwenye kilima chenye rutuba. 2 Alililima na kuondoa mawe na akaliotesha mizabibu bora sana. Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. Kisha akatazamia kupata […]
Isaya 6
Agizo Kwa Isaya 1 Katika mwaka ule Mfalme Uzia alipokufa, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu na kilichotukuzwa sana, nalo pindo la joho lake likajaza Hekalu. 2 Juu yake walikuwepo maserafi, kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao na kwa mawili […]