Neno Dhidi Ya Dameski 1 Neno kuhusu Dameski: “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu. 2 Miji ya Aroeri itaachwa na itaachiwa makundi ya kondoo na mbuzi, ambayo yatalala huko, bila ye yote wa kuyaogopesha. 3 Mji wenye ngome utatoweka kutoka Efraimu, nao uweza wa kifalme kutoka Dameski; mabaki ya Aramu yatakuwa […]
Monthly Archives: July 2017
Isaya 18
Unabii Dhidi Ya Kushi 1 Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, kwenye mito ya Kushi, 2 iwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari # kwa mashua za mafunjojuu ya maji. Nendeni, wajumbe wepesi, kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo, kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu, taifa gomvi lenye lugha ngeni, ambalo nchi […]
Isaya 19
Unabii Kuhusu Misri 1 Neno kuhusu Misri: Tazama,Bwanaamepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka naye anakuja Misri. Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 2 “Nitamchochea Mmisri dhidi ya Mmisri, ndugu atapigana dhidi ya ndugu, jirani dhidi ya jirani, mji dhidi ya mji, ufalme dhidi ya ufalme. 3 Wamisri […]
Isaya 20
Unabii Dhidi Ya Misri Na Kushi 1 Katika mwaka ule ambao jemadari mkuu, alitumwa na Mfalme Sargoni wa Ashuru, naye akaja mpaka Ashdodi akaushambulia na kuuteka, 2 wakati uleBwanaalisema kwa kinywa cha Isaya mwana wa Amozi. Akamwambia, “Vua nguo ya gunia kutoka mwilini mwako na viatu kutoka miguuni mwako.” Naye akafanya hivyo akatembea huko na […]
Isaya 21
Unabii Dhidi Ya Babeli 1 Neno kuhusu Jangwa kando ya Bahari: Kama upepo wa kisulisuli unaopita katika nchi hadi kusini, mshambuliaji anakuja kutoka jangwani, kutoka katika nchi inayotisha. 2 Nimeonyeshwa maono ya kutisha: Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. Elamu, shambulia Umedi! Izunguke kwa jeshi! Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 3 Katika hili mwili wangu umeteswa […]
Isaya 22
Unabii Kuhusu Yerusalemu 1 Neno kuhusu Bonde la Maono: Nini kinachokutaabisha sasa, kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 2 Ewe mji uliojaa ghasia, Ewe mji wa makelele na karamu za sherehe! Watu wenu waliokufa hawakuuawa kwa upanga, wala hawakufa vitani. 3 Viongozi wako wote wamekimbia pamoja, wamekamatwa bila kutumia upinde. Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa […]
Isaya 23
Unabii Kuhusu Tiro 1 Neno kuhusu Tiro: Ombolezeni, Enyi meli za Tarshishi! Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, imeachwa bila nyumba wala bandari. # Kuanzia nchi ya Kitimu neno limewajia. 2 Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani, pia ninyi wafanyabiashara wa Sidoni, ambao mabaharia wamewatajirisha. 3 Kwenye maji makuu nafaka za Shihori zilikuja; mavuno ya Nile yalikuwa […]
Isaya 24
Dunia Kuharibiwa Upesi 1 Tazama,Bwanaataifanya dunia kuwa ukiwa na kuiharibu, naye atauharibu uso wake na kutawanya wakaao ndani yake: 2 ndivyo itakavyokuwa kwa makuhani na kwa watu, kwa bwana na kwa mtumishi, kwa bibi na kwa mtumishi wake wa kike, kwa muuzaji na kwa mnunuzi, kwa mkopaji na kwa mkopeshaji, kwa mdaiwa na kwa mdai. […]
Isaya 25
Msifuni Bwana 1 EeBwana, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza na kulisifu jina lako, kwa maana katika ukamilifu wa uaminifu umetenda mambo ya ajabu, mambo yaliyokusudiwa tangu zamani. 2 Umeufanya mji kuwa lundo la kifusi, mji wenye ngome kuwa magofu, ngome imara ya wageni kuwa si mji tena, wala hautajengwa tena kamwe. 3 Kwa hiyo mataifa […]
Isaya 26
Wimbo Wa Ushindi 1 Katika siku ile wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: Tuna mji ulio na nguvu, Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake. 2 Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, taifa lile lishikalo imani. 3 Utamlinda katika amani kamilifu yeye ambaye moyo wake ni thabiti kwa sababu anakutumaini […]