1 Hivyo kazi yote Solomoni aliyofanya kwa ajili ya Hekalu laBwanaikamalizika, Solomoni akaviingiza ndani vile vitu ambavyo Daudi baba yake alikuwa ameviweka wakfu, yaani, fedha, dhahabu na vyombo vingine vyote na kuviweka katika hazina za Hekalu la Mungu. Sanduku La Agano Laletwa Hekaluni 2 Kisha Mfalme Solomoni akawaita huko Yerusalemu wazee wa Israeli, viongozi wote […]
Monthly Archives: July 2017
2 Mambo ya nyakati 6
Kuweka Hekalu Wakfu 1 Kisha Solomoni akasema, “Bwanaalisema ya kwamba angelikaa katika wingu jeusi. 2 Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.” 3 Wakati kusanyiko lote la Israeli likiwa limesimama huko, Mfalme Solomoni akageuka na kuwabariki. 4 Kisha akasema: “AhimidiweBwana, Mungu wa Israeli, ambaye kwa mkono wake mwenyewe ametimiza lile alilomwahidi […]
2 Mambo ya nyakati 7
Hekalu Lawekwa Wakfu 1 Baada ya Solomoni kumaliza kuomba, moto ukashuka kutoka mbinguni na kuteketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu, nao utukufu waBwanaukalijaza Hekalu. 2 Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu laBwanakwa sababu utukufu waBwanaulilijaza. 3 Waisraeli wote walipoona moto ukishuka na utukufu waBwanaukiwa juu ya Hekalu, wakapiga magoti sakafuni wakasujudu nyuso zao mpaka chini, […]
2 Mambo ya nyakati 8
Shughuli Nyingine Za Solomoni 1 Ikawa mwisho wa miaka ishirini, ambayo katika hiyo Solomoni alilijenga Hekalu laBwanana jumba lake mwenyewe la kifalme, 2 Solomoni akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo. 3 Kisha Solomoni akaenda Hamath-Soba na kuuteka. 4 Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote […]
2 Mambo ya nyakati 9
Malkia Wa Sheba Amtembelea Solomoni 1 Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina laBwana, huyo malkia akaja kumjaribu kwa maswali magumu. Alipofika Yerusalemu akiwa na msafara mkubwa sana, pamoja na ngamia waliobeba vikolezi, kiasi kikubwa cha dhahabu na vito vya thamani, alikuja kwa Solomoni na kuzungumza naye kuhusu […]
2 Mambo ya nyakati 10
Israeli Wanamwasi Rehoboamu 1 Rehoboamu akaenda Shekemu, kwa kuwa Waisraeli wote walikuwa wamekwenda huko kumfanya yeye kuwa mfalme. 2 Yeroboamu mwana wa Nebati aliposikia hili (alikuwa bado yuko Misri alikokuwa amekimbilia awe mbali na Mfalme Solomoni), akarudi kutoka Misri. 3 Kwa hiyo wakatuma watu kumwita Yeroboamu, yeye na kusanyiko lote la Israeli wakamwendea Rehoboamu na […]
2 Mambo ya nyakati 11
Yuda Na Benyamini Zajengwa Ngome 1 Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba yote ya Yuda na kabila la Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni. 2 Lakini neno hili laBwanalikamjia Shemaya mtu wa Mungu: 3 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni mfalme wa […]
2 Mambo ya nyakati 12
Shishaki Ashambulia Yerusalemu 1 Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria yaBwanaMungu. 2 Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwaBwana, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa kutawala kwa Mfalme Rehoboamu. 3 Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi […]
2 Mambo ya nyakati 13
Abiya Mfalme Wa Yuda 1 Katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Mfalme Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda, 2 naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka, binti Urieli wa Gibeoni. Basi kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu. 3 Abiya aliingia vitani na jeshi la watu 400,000 wenye […]
2 Mambo ya nyakati 14
Asa Atawala 1 Hivyo Abiya akalala na baba zake naye akazikwa katika Mji wa Daudi. Asa mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme na katika siku zake, nchi ikawa na amani kwa miaka kumi. 2 Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni paBwanaMungu wake. 3 Akaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia miungu, […]