Asa Afanya Matengenezo 1 Roho waBwanaakamjia Azaria mwana wa Obedi. 2 Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini.Bwanayu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi. 3 Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha […]
Monthly Archives: July 2017
2 Mambo ya nyakati 16
Miaka Ya Mwisho Ya Mfalme Asa 1 Katika mwaka wa thelathini na sita wa kutawala kwa Asa, Mfalme Baasha wa Israeli akaishambulia Yuda na kuujengea ngome mji wa Rama ili kumzuia ye yote asitoke wala kuingia katika nchi ya Mfalme Asa wa Yuda. 2 Ndipo Asa akachukua fedha na dhahabu kutoka katika hazina ya Hekalu […]
2 Mambo ya nyakati 17
Yehoshafati Mfalme Wa Yuda 1 Yehoshafati mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme na akajiimarisha dhidi ya Israeli. 2 Akaweka jeshi katika miji yote ya Yuda yenye ngome na kuweka askari walinzi katika Yuda na katika miji ya Efraimu ile ambayo baba yake Asa alikuwa ameiteka. 3 BwanaMungu alikuwa na Yehoshafati kwa sababu katika miaka yake […]
2 Mambo ya nyakati 18
Mikaya Atoa Unabii Dhidi Ya Ahabu 1 Basi, Yehoshafati alikuwa na mali nyingi sana na heshima. Naye akafanya urafiki na Ahabu kwa mwanawe kumwoa binti wa Ahabu. 2 Baada ya miaka kadhaa akashuka kumtembelea Ahabu huko Samaria. Ahabu akachinja ng’ombe na kondoo wengi kwa ajili yake na watu aliokuwa amefuatana nao. Kisha Ahabu akamshawishi Yehoshafati […]
2 Mambo ya nyakati 19
Mwonaji Yehu Amkemea Yehoshafati 1 Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu. 2 Yehu mwonaji, mwana wa Hanani, akapanda kwenda kuonana naye akamwambia Mfalme Yehoshafati, “Je, utawasaidia waovu na kuwapenda wale wanaomchukiaBwana? Kwa sababu ya jambo hili, ghadhabu yaBwanaiko juu yako. 3 Hata hivyo, kuna mema yaliyoonekana kwako, kwa […]
2 Mambo ya nyakati 20
1 Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati. 2 Watu fulani wakaja wakamwambia Yehoshafati, “Jeshi kubwa linakuja dhidi yako toka Edomu na ng’ambo ya Bahari. Tayari wako Hasason-Tamari” (ndio En-Gedi). 3 Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafutaBwana, akatangaza kwa Yuda wote kufunga. 4 Watu wa […]
2 Mambo ya nyakati 21
Yehoramu Atawala 1 Yehoshafati akalala na baba zake, akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi, mwanawe Yehoramu akaingia mahali pa baba yake kuwa mfalme. 2 Ndugu zake Yehoramu, wana wa Yehoshafati walikuwa: Azaria, Yehieli, Zekaria, Azaria, Mikaeli na Shefatia. Hawa wote walikuwa wana wa Yehoshafati mfalme wa Israeli. 3 Baba yao alikuwa amewapa zawadi nyingi […]
2 Mambo ya nyakati 22
Ahazia Mfalme Wa Yuda 1 Watu wa Yerusalemu wakamfanya Ahazia, mdogo wa wote wa wana wa Yerohamu, kuwa mfalme mahali pa baba yake, kwa sababu washambuliaji wa ghafula waliokuwa wameingia kambini pamoja na Waarabu, walikuwa wamewaua wana wakubwa wote wa Yehoramu. Kwa hiyo Ahazia mwana wa Yehoramu mfalme wa Yuda akaanza kutawala. 2 Ahazia alikuwa […]
2 Mambo ya nyakati 23
Uasi Dhidi Ya Athalia 1 Katika mwaka wa saba Yehoyada akaonyesha nguvu zake. Akafanya agano na majemadari wa vikosi vya mamia: Azaria mwana wa Yehoramu, Ishmaeli mwana wa Yehohanani, Azaria mwana wa Obedi, Maaseya mwana wa Adaya na Elishafati mwana wa Zikri. 2 Wakazunguka katika Yuda yote na kukusanya Walawi na viongozi wa jamaa za […]
2 Mambo ya nyakati 24
Yoashi Akarabati Hekalu 1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka arobaini. Mama yake aliitwa Sibia aliyekuwa ametoka Beer-Sheba. 2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni paBwanamiaka yote ya Yehoyada kuhani. 3 Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike. 4 Baada ya muda, Yoashi […]