2 Mambo ya nyakati 30

Hezekia Aadhimisha Pasaka 1 Hezekia akatuma ujumbe kuwaita Israeli wote na Yuda, pia akaandika barua kwa Efraimu na Manase, kuwakaribisha ili waje hekaluni mwaBwanahuko Yerusalemu kuadhimisha Pasaka kwaBwana, Mungu wa Israeli. 2 Mfalme na maafisa wake pamoja na kusanyiko lote katika Yerusalemu waliamua kuadhimisha Pasaka katika mwezi wa pili. 3 Kwa sababu makuhani hawakuwa wamejitakasa […]

2 Mambo ya nyakati 32

Senakeribu Aitishia Yerusalemu 1 Baada ya yale yote aliyokuwa amefanya Hezekia kwa uaminifu mkubwa, Senakeribu, mfalme wa Ashuru akaja na kuivamia Yuda. Akaizunguka kwa jeshi miji yenye ngome, akifikiri kuiteka. 2 Hezekia alipoona kuwa Senakeribu amekuja na kwamba alikusudia kufanya vita juu ya Yerusalemu, 3 akafanya shauri na maafisa wake na mashujaa wake juu ya […]

2 Mambo ya nyakati 33

Manase Mfalme Wa Yuda 1 Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka hamsini na mitano. 2 Akafanya yaliyo maovu machoni paBwana, akafanya machukizo kama walivyofanya mataifaBwanaaliyoyafukuza mbele ya Waisraeli. 3 Akajenga upya mahali pa juu pa kuabudia miungu ambapo Hezekia baba yake, alikuwa […]