2 Mambo ya nyakati 35

Mfalme Yosia Anaadhimisha Pasaka 1 Yosia akaadhimisha Pasaka kwaBwanakatika Yerusalemu, mwana-kondoo wa Pasaka akachinjwa siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. 2 Akawaweka makuhani kwenye wajibu wao na kuwatia moyo katika utumishi wa Hekalu laBwana. 3 Akawaambia Walawi, waliowafundisha Waisraeli wote na ambao walikuwa wamejiweka wakfu kwa ajili ya kazi yaBwana, “Liwekeni hilo […]