Yoshua 3

Kuvuka Yordani 1 Yoshua na Waisraeli wote wakaondoka asubuhi na mapema kutoka Shitimu, wakaenda mpaka Mto Yordani, ambako alipiga kambi kabla ya kuvuka. 2 Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote, 3 wakitoa maagizo kwa watu, wakiwaambia: “Mtakapoona Sanduku la Agano laBwanaMungu wenu, likichukuliwa na Walawi ambao ndio makuhani, mtaondoka hapo mlipo na […]

Yoshua 4

Ukumbusho Wa Kuvuka Mto Yordani 1 Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani,Bwanaakamwambia Yoshua, 2 “Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja, 3 nawe uwaambie wachukue mawe kumi na mawili katikati ya Mto Yordani, pale pale makuhani waliposimama, wayachukue na kuyaweka mahali mtakapokaa usiku huu wa leo.” 4 Basi Yoshua […]

Yoshua 5

1 Basi wafalme wote wa Waamori magharibi ya Yordani na wafalme wote wa Kanaani waliokuwa kwenye mwambao wa bahari waliposikia jinsiBwanaalivyoukausha Mto Yordani mbele ya Waisraeli hata tulipokwisha kuvuka, mioyo yao ikayeyuka kwa hofu, wala hawakuwa na ujasiri kuwakabili Waisraeli. Tohara Huko Gilgali 2 Wakati huoBwanaakamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri […]

Yoshua 6

Yeriko Yatekwa Na Kuangamizwa 1 Basi malango ya Yeriko yalifungwa kwa uthabiti kwa ajili ya Waisraeli. Hakuna mtu ye yote aliyetoka au kuingia. 2 KishaBwanaakamwambia Yoshua, “Tazama, nimeitia Yeriko mikononi mwako, pamoja na mfalme wake na watu wake wa vita. 3 Zunguka mji mara moja pamoja na watu wako wote wa vita. Fanya hivi kwa […]

Yoshua 7

Dhambi Ya Akani 1 Lakini Waisraeli hawakuwa waaminifu kuhusu vile vitu vilivyowekwa wakfu, Akani mwana wa Karmi, mwana wa Zabdi, mwana wa Zera, wa kabila la Yuda, alivichukua baadhi ya hivyo vitu. Hasira yaBwanaikawaka dhidi ya Israeli. 2 Basi Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko waende Ai, karibu na Beth-Aveni mashariki ya Betheli, akawaambia, “Pandeni mkaipeleleze […]

Yoshua 8

Mji Wa Ai Waangamizwa 1 NdipoBwanaakamwambia Yoshua, “Usiogope, wala usivunjike moyo, chukua jeshi lote la vita uende pamoja nalo kuishambulia Ai. Kwa kuwa nimeshamweka mikononi mwako huyo mfalme wa Ai, pamoja na watu wake, mji wake na nchi yake. 2 Utafanya Ai na mfalme wake kama ulivyofanya kwa mji wa Yeriko na mfalme wake, isipokuwa […]

Yoshua 9

Udanganyifu Wa Wagibeoni 1 Basi ikawa wafalme wote waliokuwa magharibi ya Yordani waliposikia juu ya haya yote, wale waliokuwa katika nchi ya vilima, upande wa magharibi mwa vilima na katika pwani yote ya hiyo Bahari Kuu, hadi kufikia Lebanoni (wafalme wa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi), 2 wakajiunga pamoja ili kupigana vita dhidi […]

Yoshua 10

Jua Linasimama 1 Baada ya haya Adoni-Sedeki mfalme wa Yerusalemu alisikia kuwa Yoshua alikuwa ameteka mji wa Ai na kuuharibu kabisa, tena alikuwa ameua mfalme wake, kama alivyofanya huko Yeriko na mfalme wake, tena ya kuwa watu wa Gibeoni wamefanya mapatano ya amani na Waisraeli, tena ya kwamba walikuwa wakiishi karibu yao. 2 Yeye na […]

Yoshua 11

Wafalme Wa Kaskazini Washindwa 1 Ikawa Yabini mfalme wa Hazori aliposikia habari za mambo haya, akatuma ujumbe kwa Yobabu mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na kwa mfalme wa Akshafu, 2 na pia kwa wafalme wa upande wa kaskazini wale waliokuwa milimani, katika Araba upande wa kusini mwa Kinerethi, nchi chini ya vilima […]

Yoshua 12

Orodha Ya Wafalme Walioshindwa 1 Hawa ndio wafalme wa nchi ambao Waisraeli walikuwa wamewashinda na kutawala nchi yao upande wa mashariki ya Yordani, kuanzia Bonde la Arnoni mpaka Mlima Hermoni, pamoja na eneo lote la upande wa mashariki ya Araba: 2 Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala huko Heshboni. Alitawala kuanzia Aroeri kwenye ukingo wa […]