Waebrania 8

Kuhani Mkuu Wa Agano Jipya 1 Basi jambo tunalotaka kulisema ni hili: Tunaye Kuhani Mkuu ambaye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni, 2 yeye ahudumuye katika patakatifu, pa hema la kweli lililowekwa na Bwana, wala si mwanadamu. 3 Kila Kuhani Mkuu huwekwa ili atoe sadaka na dhabihu. Vivyo hivyo ilikuwa […]

Waebrania 9

Ibada Katika Hema La Kidunia 1 Basi Agano lile la kwanza lilikuwa na kanuni zake za kuabudu na pia patakatifu pake pa kidunia. 2 Hema lilitengenezwa, katika sehemu yake ya kwanza kulikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa wakfu, hii sehemu iliitwa Mahali Patakatifu. 3 Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu […]

Waebrania 10

Dhabihu Ya Kristo Ni Mara Moja Tu 1 Kwa maana Torati ni kivuli tu cha mambo mema yajayo, wala si uhalisi wa mambo yenyewe. Kwa sababu hii, haiwezekani kamwe kwa njia ya dhabihu zitolewazo mwaka hadi mwaka, kuwakamilisha wale wanaokaribia ili kuabudu. 2 Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo […]

Waebrania 11

Maana Ya Imani 1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni udhahiri wa mambo yasiyoonekana. 2 Naam, kwa imani baba zetu wa kale walishuhudiwa. 3 Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana viliumbwa kwa vitu visivyoonekana. Mfano Wa Abeli, Enoki Na Noa 4 Kwa imani Abeli […]

Waebrania 12

Mungu Huwaadibisha Wanawe 1 Kwa sababu hii, kwa kuwa tumezungukwa na wingu kubwa namna hii la mashahidi, basi na tuweke kando kila kitu kinachotuzuia na ile dhambi inayotuzinga kwa urahisi, nasi tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa kwa ajili yetu. 2 Basi na tumtazame sana Yesu mwanzilishi na mkamilishaji wa imani yetu, yeye […]

Waebrania 13

Huduma Inayompendeza Mungu 1 Upendo wa kidugu na udumu. 2 Msisahau kuwakaribisha wageni, kwa kuwa kwa kufanya hivyo, watu wengine waliwakaribisha malaika pasipo kujua. 3 Wakumbukeni wale waliofungwa gerezani kama vile nanyi mmefungwa pamoja nao, pia wakumbukeni wale wanaotendewa vibaya, kama vile ni ninyi wenyewe mnateswa. 4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi […]

Filemoni 1

1 Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu, pamoja na Timotheo ndugu yetu: Kwa Filemoni rafiki yetu mpendwa na mtenda kazi mwenzetu, 2 kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako: 3 Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. Shukrani Na Maombi […]

Tito 1

1 Paulo, mtumishi wa Mungu na mtume wa Yesu Kristo kwa ajili ya imani ya wateule wa Mungu na ujuzi wa kweli ile iletayo uchaji wa Mungu: 2 imani na ujuzi ulioko katika tumaini la uzima wa milele, ambao Mungu, asiyesema uongo, aliahidi hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, 3 naye kwa wakati wake […]

Tito 2

Fundisha Mafundisho Manyofu 1 Lakini kwa habari yako wewe, inakupasa kufundisha kulingana na mafundisho yenye uzima. 2 Wafundishe wazee kuwa na kiasi, wastahivu, wenye busara na wanyofu katika imani, upendo na saburi. 3 Vivyo hivyo wafundishe wanawake wazee kuwa na mwenendo wa unyenyekevu unaostahili utakatifu, wala wasiwe wasingiziaji au walevi, bali wafundishe yale yaliyo mema, […]

Tito 3

Kutenda Mema 1 Wakumbushe watu kuwanyenyekea watawala na kuwatii wenye mamlaka, wawe tayari kutenda kila lililo jema. 2 Wasimnenee mtu ye yote mabaya, wasiwe wagomvi, bali wawe wapole, wakionyesha unyenyekevu kwa watu wote. 3 Maana sisi wenyewe wakati fulani tulikuwa wajinga, wasiotii, tukiwa watumwa wa tamaa mbaya na anasa za kila aina. Tuliishi katika uovu […]