1 Paulo, Silvanona Timotheo: Kwa kanisa la Wathesalonike mlio katika Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo: 2 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo iwe nanyi. Shukrani Na Maombi 3 Ndugu, imetubidi kumshukuru Mungu kwa ajili yenu siku zote, kama ulivyo wajibu wetu, kwa sababu imani yenu inakua zaidi na […]
Author Archives: admin
2 Wathesalonike 2
Yule Mtu Wa Kuasi 1 Ndugu, kuhusu kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanyika kwetu pamoja mbele zake, tunawasihi, 2 msiyumbishwe kwa urahisi wala msitiwe wasiwasi na roho wala neno au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu, isemayo kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwako. 3 Mtu ye yote na asiwadanganye kwa namna yo yote kwa […]
2 Wathesalonike 3
Ombi La Kuhitaji Maombi 1 Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili kwamba Neno la Bwana lipate kuenea kwa haraka na kuheshimiwa kila mahali, kama vile ilivyokuwa kwa upande wenu. 2 Ombeni pia ili kwamba tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si kila mmoja ana imani. 3 Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi […]
1 Wathesalonike 1
Salamu 1 Paulo, Silvanona Timotheo: Kwa kanisa la Wathesalonike, ninyi mlio ndani ya Mungu Baba yetu na ndani ya Bwana Yesu Kristo: Neema iwe kwenu na amani, itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. Shukrani Kwa Ajili Ya Imani Ya Wathesalonike 2 Siku zote tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye […]
1 Wathesalonike 2
Huduma Ya Paulo Huko Thesalonike 1 Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure, 2 kama vile mjuavyo, tulikuwa tumeteswa na kutukanwa huko Filipi, lakini hata hivyo, kwa msaada wa Mungu wetu, tulikuwa na ujasiri wa kuwaambia Injili ya Mungu ingawa kulikuwa na upinzani mkubwa. 3 Kwa maana himizo […]
1 Wathesalonike 3
Timotheo Atumwa Kwenda Thesalonike 1 Kwa hivyo tulipokuwa hatuwezi kuvumilia zaidi, tuliamua tubaki Athene peke yetu, 2 tukamtuma Timotheo ambaye ni ndugu yetu na mtumishi mwenzetu wa Mungu katika kuieneza Injili ya Kristo, aje kuwaimarisha na kuwatia moyo katika imani yenu, 3 ili mtu ye yote asifadhaishwe na mateso haya. Mnajua vyema kwamba tumewekewa hayo […]
1 Wathesalonike 4
Maisha Yanayompendeza Mungu 1 Hatimaye, ndugu, tuliwaomba na kuwasihi katika Bwana Yesu kwamba, kama mlivyojifunza kutoka kwetu jinsi iwapasavyo kuishi ili kumpendeza Mungu, kama vile mnavyoishi, imewapasa mzidi sana kufanya hivyo. 2 Kwa kuwa mnajua ni maagizo gani tuliyowapa kwa mamlaka ya Bwana Yesu. 3 Kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu ninyi mwe watakatifu, […]
1 Wathesalonike 5
Iweni Tayari Kwa Siku Ya Bwana 1 Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia, 2 kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwivi ajapo usiku. 3 Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba wala hawatatoroka. 4 Bali […]
Wakolosai 1
Salamu 1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu k wa mapenzi ya Mungu na Timotheo ndugu yetu: 2 Kwa ndugu watakatifu na waaminifu katika Kristo, waishio Kolosai: Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu. Shukrani Na Maombi 3 Siku zote tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, tunapowaombea ninyi, 4 kwa sababu […]
Wakolosai 2
1 Kwa kuwa nataka mjue jinsi ninavyojitaabisha kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale walioko Laodikia na kwa ajili ya wote wale ambao hawajapata kuniona mimi binafsi. 2 Kusudi langu ni kuwa watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu kikamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani, Kristo mwenyewe, 3 […]