1 Hili ndilo asemaloBwana: “Tazama nitaamsha roho ya mwangamizi # dhidi ya Babeli na watu wakaao Leb-Kamai. 2 Nitawatuma wageni Babeli kumpepeta na kuiharibu nchi yake; watampinga kila upande katika siku ya maafa yake. 3 Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, wala usimwache avae silaha zake. Usiwaonee huruma vijana wake; angamiza jeshi lake kabisa. […]
Category Archives: Yeremia
Yeremia 52
Anguko La Yerusalemu 1 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna. 2 Alifanya maovu machoni paBwana, kama vile alivyokuwa amefanya Yehoyakimu. 3 Ilikuwa ni kwa sababu ya hasira yaBwanakwamba haya yote yalitokea […]