Zaburi 91

Mungu Mlinzi Wetu 1 Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, # atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. 2 Nitasema kuhusuBwana, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.” 3 Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji na maradhi ya kuambukiza ya kuua. 4 Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya […]

Zaburi 92

Wimbo Wa Kumsifu Mungu (Zaburi: Wimbo Wa Sabato) 1 Ni vyema kumshukuruBwana na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana, 2 kuutangaza upendo wako asubuhi, uaminifu wako wakati wa usiku, 3 kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi. 4 EeBwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako. […]

Zaburi 93

Mungu Mfalme 1 Bwanaanatawala, amejivika utukufu; Bwanaamejivika utukufu tena amejivika nguvu. Dunia imewekwa imara, haitaondoshwa. 2 Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; wewe umekuwako tangu milele. 3 Bahari zimeinua, EeBwana, bahari zimeinua sauti zake; bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 4 Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, ni mkuu kuliko mawimbi […]

Zaburi 94

Mungu Mlipiza Kisasi Kwa Ajili Ya Wenye Haki 1 EeBwana, ulipizaye kisasi, Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa. 2 Ee mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili. 3 Hata lini, waovu, EeBwana, hata lini waovu watashangilia? 4 Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 5 EeBwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi […]

Zaburi 95

Wimbo Wa Kumsifu Mungu 1 Njoni, tumwimbieBwanakwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu. 2 Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo. 3 Kwa kuwaBwanani Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote. 4 Mkononi mwake mna vilindi vya dunia na vilele vya milima ni mali yake. 5 Bahari ni […]

Zaburi 96

Mungu Mfalme Mkuu 1 MwimbieniBwanawimbo mpya; mwimbieniBwanadunia yote. 2 MwimbieniBwana, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. 3 Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 4 Kwa kuwaBwanani mkuu mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 5 Kwa maana miungu […]

Zaburi 97

Mungu Mtawala Mkuu 1 Bwanaanatawala, nchi na ifurahi, visiwa vyote vishangilie. 2 Mawingu na giza nene vinamzunguka, haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake cha enzi. 3 Moto hutangulia mbele zake na huteketeza adui zake pande zote. 4 Umeme wake wa radi humulika dunia, nchi huona na kutetemeka. 5 Milima huyeyuka kama nta mbele […]

Zaburi 98

Mungu Mtawala Wa Dunia 1 MwimbieniBwanawimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu; kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu umemfanyia wokovu. 2 Bwanaameufanya wokovu wake ujulikane na amedhihirisha haki yake kwa mataifa. 3 Ameukumbuka upendo wake na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu. 4 […]

Zaburi 99

Mungu Mfalme Mkuu 1 Bwanaanatawala, mataifa na yatetemeke; anaketi kwenye kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike. 2 Bwanani mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote. 3 Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu! 4 Mfalme mwenye nguvu hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo […]

Zaburi 100

Dunia Yote Yaitwa Kumsifu Mungu (Zaburi Ya Shukrani) 1 MpigieniBwanakelele za shangwe, dunia yote. 2 MwabuduniBwanakwa furaha; njoni mbele zake kwa nyimbo za shangwe. 3 Jueni kwambaBwanandiye Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, sisi tu mali yake; sisi tu watu wake, kondoo wa malisho yake. 4 Ingieni malangoni mwake kwa shukrani na katika nyua zake kwa kusifu, […]