Zaburi 111

Sifa Za Bwana Kwa Matendo Ya Ajabu 1 MsifuniBwana. NitamtukuzaBwanakwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. 2 Kazi zaBwanani kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 3 Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. 4 Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwanani mwenye neema na huruma. 5 Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka […]

Zaburi 112

Baraka za Mwenye Haki 1 MsifuniBwana. Heri mtu yule amchayeBwana, mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 2 Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa. 3 Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele. 4 Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, yule mwenye rehema, huruma na haki. 5 […]

Zaburi 113

Kumsifu Bwana Kwa Wema Wake 1 MsifuniBwana. Enyi watumishi waBwanamsifuni, lisifuni jina laBwana. 2 Jina laBwanana lisifiwe, sasa na hata milele. 3 Kuanzia maawio ya jua hadi machweo yake, jina laBwanalinapaswa kusifiwa. 4 Bwanaametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu. 5 Ni nani aliye kamaBwanaMungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti […]

Zaburi 114

Maajabu Ya Mungu Wakati Israeli Walipotoka Misri 1 Wakati Israeli walipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, 2 Yuda akawa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake. 3 Bahari ilitazama ikakimbia, Yordani ulirudi nyuma, 4 milima ilirukaruka kama kondoo waume, vilima kama wana-kondoo. 5 Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, […]

Zaburi 115

Mungu Mmoja Wa Kweli 1 Sio kwetu sisi, EeBwana, sio kwetu sisi bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako. 2 Kwa nini mataifa waseme, “Yuko wapi Mungu wao?” 3 Mungu wetu yuko mbinguni, naye hufanya lo lote limpendezalo. 4 Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa […]

Zaburi 116

Shukrani Kwa Kuokolewa Kutoka Mautini Sifa Kwa Mungu 1 NinampendaBwanakwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie. 2 Kwa sababu amenitegea sikio lake, nitamwita siku zote za maisha yangu. 3 Kamba za mauti zilinizunguka, maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, nikalemewa na taabu na huzuni. 4 Ndipo nikaliitia jina laBwana: “EeBwana, niokoe!” 5 Bwanani […]

Zaburi 117

Sifa Za Bwana 1 MsifuniBwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 2 Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu waBwanaunadumu milele. MsifuniBwana. —https://d1b84921e69nmq.cloudfront.net/337/32k/PSA/117-530b30e55d947946e2b942776ec8e206.mp3?version_id=1627—

Zaburi 118

Shukrani Kwa Ajili Ya Ushindi 1 MshukuruniBwana, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele. 2 Israeli na aseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” 3 Nyumba ya Aroni na iseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” 4 Wote wamchaoBwanana waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” 5 Wakati wa maumivu yangu makuu nilimliliaBwana, naye akanijibu kwa kuniweka […]

Zaburi 119

Sifa Za Sheria Ya Bwana# Kujifunza Sheria Ya Bwana 1 Heri wale walio waadilifu katika njia zao, wanaoenenda katika sheria yaBwana. 2 Heri wale wanaozishika shuhuda zake, wamtafutao kwa moyo wao wote. 3 Wasiofanya lo lote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake. 4 Umetoa maagizo yako ili tuyatii kwa ukamilifu. 5 Laiti, mwenendo wangu ungekuwa […]

Zaburi 120

Kuomba Msaada (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Katika dhiki yangu namwitaBwana, naye hunijibu. 2 EeBwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. 3 Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, Ewe ulimi mdanganyifu? 4 Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 5 Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, […]