Wimbo Wa Sikukuu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Gitithi. Zaburi Ya Asafu) 1 Mwimbieni kwa furaha Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo! 2 Anzeni wimbo, pigeni matari, pigeni kinubi na zeze kwa sauti nzuri. 3 Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume wakati wa Mwandamo wa Mwezi, na wakati wa mwezi […]
Category Archives: Zaburi
Zaburi 82
Maombi Kwa Ajili Ya Kutaka Haki (Zaburi Ya Asafu) 1 Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”: 2 “Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 3 Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa. 4 Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. 5 “Hawajui lo […]
Zaburi 83
Maombi Kwa Ajili Ya Kushindwa Kwa Adui Wa Israeli (Zaburi Ya Asafu. Wimbo) 1 Ee Mungu, usinyamaze kimya, usinyamaze, Ee Mungu usitulie. 2 Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 3 Kwa hila wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 4 Wanasema, “Njoni, tuwaangamize kama […]
Zaburi 84
Kuionea Shauku Nyumba Ya Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Gitithi. Zaburi Ya Wana Wa Kora) 1 EeBwanaMwenye Nguvu Zote, makao yako yapendeza kama nini! 2 Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua zaBwana; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai. 3 Hata shomoro amejipatia makao, mbayuwayu amejipatia kiota […]
Zaburi 85
Maombi Kwa Ajili Ya Ustawi Wa Taifa (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora) 1 EeBwana, ulionyesha wema kwa nchi yako, # ulimrejeshea Yakobo baraka zake. 2 Ulisamehe uovu wa watu wako na kufunika dhambi zao zote. 3 Uliweka kando ghadhabu yako yote na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 4 Ee Mungu Mwokozi wetu, […]
Zaburi 86
Kuomba Msaada (Maombi Ya Daudi) 1 EeBwana, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji. 2 Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini. 3 EeBwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa. 4 Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, EeBwana, ninainua nafsi yangu. […]
Zaburi 87
Sifa Za Yerusalemu (Zaburi. Wimbo Wa Wana Wa Kora) 1 Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu; 2 Bwanaanayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo. 3 Mambo matukufu yanasemwa juu yako, Ee mji wa Mungu: 4 “Nitaweka kumbukumbu ya Rahabuna Babeli miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: # Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi, […]
Zaburi 88
Kilio Kwa Ajili Ya Kuomba Msaada 1 EeBwana, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana. 2 Maombi yangu na yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. 3 Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, # na maisha yangu yanakaribia kaburi. 4 Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu. 5 […]
Zaburi 89
Wimbo Wakati Wa Taabu Ya Kitaifa (Utenzi Wa Ethani Wa Jamii Ya Ezra) 1 Nitaimba juu ya upendo mkuu waBwanamilele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote. 2 Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni. 3 Ulisema, “Nimefanya Agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi, 4 […]
Zaburi 90
Umilele Wa Mungu Na Udhaifu Wa Mwanadamu (Maombi Ya Mose, Mtu Wa Mungu) 1 Bwana, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote. 2 Kabla ya kuzaliwa milima au hujaumba dunia na ulimwengu, wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 3 Huwarudisha watu mavumbini, ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” 4 Kwa maana kwako miaka elfu ni […]