Yuda 1

Salamu 1 Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo na nduguye Yakobo: Kwa wale walioitwa, wapendwa katika Mungu Baba na kuhifadhiwa salama ndani ya Yesu Kristo: 2 Rehema, amani na upendo viwe kwenu kwa wingi. Dhambi Na Hukumu Ya Watu Wasiomcha Mungu 3 Wapenzi, ingawa nilikuwa ninatamani sana kuwaandikia kuhusu wokovu ambao tunaushiriki sisi sote, niliona imenipasa […]