2 Mambo ya nyakati 5

1 Hivyo kazi yote Solomoni aliyofanya kwa ajili ya Hekalu laBwanaikamalizika, Solomoni akaviingiza ndani vile vitu ambavyo Daudi baba yake alikuwa ameviweka wakfu, yaani, fedha, dhahabu na vyombo vingine vyote na kuviweka katika hazina za Hekalu la Mungu. Sanduku La Agano Laletwa Hekaluni 2 Kisha Mfalme Solomoni akawaita huko Yerusalemu wazee wa Israeli, viongozi wote […]

2 Mambo ya nyakati 6

Kuweka Hekalu Wakfu 1 Kisha Solomoni akasema, “Bwanaalisema ya kwamba angelikaa katika wingu jeusi. 2 Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.” 3 Wakati kusanyiko lote la Israeli likiwa limesimama huko, Mfalme Solomoni akageuka na kuwabariki. 4 Kisha akasema: “AhimidiweBwana, Mungu wa Israeli, ambaye kwa mkono wake mwenyewe ametimiza lile alilomwahidi […]

2 Mambo ya nyakati 7

Hekalu Lawekwa Wakfu 1 Baada ya Solomoni kumaliza kuomba, moto ukashuka kutoka mbinguni na kuteketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu, nao utukufu waBwanaukalijaza Hekalu. 2 Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu laBwanakwa sababu utukufu waBwanaulilijaza. 3 Waisraeli wote walipoona moto ukishuka na utukufu waBwanaukiwa juu ya Hekalu, wakapiga magoti sakafuni wakasujudu nyuso zao mpaka chini, […]

2 Mambo ya nyakati 10

Israeli Wanamwasi Rehoboamu 1 Rehoboamu akaenda Shekemu, kwa kuwa Waisraeli wote walikuwa wamekwenda huko kumfanya yeye kuwa mfalme. 2 Yeroboamu mwana wa Nebati aliposikia hili (alikuwa bado yuko Misri alikokuwa amekimbilia awe mbali na Mfalme Solomoni), akarudi kutoka Misri. 3 Kwa hiyo wakatuma watu kumwita Yeroboamu, yeye na kusanyiko lote la Israeli wakamwendea Rehoboamu na […]