2 Wafalme 1

Hukumu Ya Bwana Juu Ya Ahazia 1 Baada ya kifo cha Mfalme Ahabu, nchi ya Moabu iliasi dhidi ya Israeli. 2 Basi Ahazia alikuwa ameanguka huko Samaria kutoka baraza ya chumba chake cha juu akaumia. Hivyo akatuma wajumbe, akiwaambia, “Nendeni mkaulize kwa Baal-Zebubu, aliye mungu wa Ekroni, mkaone kama nitapona kutokana na kuumia huku.” 3 […]

2 Wafalme 2

Eliya Achukuliwa Juu Mbinguni 1 WakatiBwanaalipokuwa karibu kumchukua Eliya juu mbinguni kwa upepo wa kisulisuli, Eliya na Elisha walikuwa njiani kutoka Gilgali. 2 Eliya akamwambia Elisha, “Kaa hapa,Bwanaamenituma Betheli.” Lakini Elisha akasema, “Kwa hakika, kamaBwanaaishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo wakaenda Betheli pamoja. 3 Wana wa manabii walikuwako huko Betheli wakamjia Elisha na kumwuliza, […]

2 Wafalme 3

Moabu Wanaasi 1 Yehoramumwana wa Ahabu akawa mfalme wa Israeli katika Samaria mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Yehoshafati mfalme wa Yuda, naye akatawala kwa miaka kumi na miwili. 2 Akafanya maovu machoni paBwana, lakini sio kama baba yake na mama yake walivyokuwa wamefanya. Akaondoa nguzo ya ibada ya Baali ambayo baba yake […]

2 Wafalme 4

Mafuta Ya Mjane 1 Mke wa mtu mmoja kutoka katika wana wa manabii akamwendea Elisha, akamwambia, “Mtumishi wako mume wangu amekufa, nawe unajua alikuwa anamchaBwana. Lakini sasa yule anayemdai anakuja kuchukua wanangu wawili kama watumwa wake.” 2 Elisha akamjibu, “Nitawezaje kukusaidia? Niambie, una nini ndani ya nyumba yako?” Akasema, “Mtumishi wako hana kitu cho chote […]

2 Wafalme 5

Naamani Aponywa Ukoma 1 Wakati huu, Naamani alikuwa jemadari wa jeshi la mfalme wa Aramu. Alikuwa mtu mkuu mbele ya bwana wake na aliyeheshimiwa sana, kwa sababu kwa kupitia yeye,Bwanaalikuwa amewapa Aramu ushindi. Alikuwa askari shujaa, lakini alikuwa na ukoma. 2 Panapo siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimekwenda na vikawa vimemchukua mateka msichana kutoka […]

2 Wafalme 6

Shoka Laelea 1 Wana wa manabii wakamwambia Elisha, “Tazama, mahali hapa tunapoishi chini ya uongozi wako ni padogo sana kwa ajili yetu. 2 Twendeni Yordani, mahali ambapo kila mmoja wetu anaweza kupata nguzo moja, nasi tujenge huko mahali petu pa kuishi.” Naye akawaambia, “Nendeni.” 3 Kisha mmoja wao akasema, “Je, tafadhali, huwezi kufuatana na watumishi […]

2 Wafalme 7

1 Elisha akasema, “Sikiliza neno laBwana. Hivi ndivyo asemavyoBwana: Wakati kama huu kesho, kipimo kimojacha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha, na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria.” 2 Yule afisa ambaye mfalme alikuwa anautegemea mkono wake akamwambia yule mtu wa Mungu, “Tazama, hata kamaBwanaatafungua madirisha […]

2 Wafalme 8

Ardhi Ya Mshunami Yarudishwa 1 Wakati huu, Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye mwanawe alikuwa amefufuliwa, “Ondoka wewe na jamaa yako ukaishi mahali po pote unapoweza kwa kitambo kidogo, kwa sababuBwanaameamuru njaa katika nchi hii ambayo itadumu kwa miaka saba.” 2 Yule mwanamke akafanya kama vile yule mtu wa Mungu alivyosema. Yeye na jamaa yake […]

2 Wafalme 9

Yehu Atiwa Mafuta Kuwa Mfalme 1 Nabii Elisha akamwita mtu mmoja kutoka kwa wana wa manabii na kumwambia, “Jikaze viuno, ichukue hii chupa ya mafuta nenda Ramoth-Gileadi. 2 Ukifika huko, mtafute Yehu mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi. Mwendee, mtenge mbali na wenzake na umpeleke katika chumba cha ndani. 3 Kisha chukua hii chupa na […]

2 Wafalme 10

Jamii Ya Ahabu Yauawa 1 Wakati huu katika Samaria walikuwepo wana sabini wa nyumba ya Ahabu. Kwa hiyo Yehu akaandika barua na kuzituma Samaria kwa: Maafisa wa Yezreeli, kwa wazee na kwa walezi wa watoto wa Ahabu. Akasema, 2 “Mara tu barua hii itakapokufikia, kwa kuwa wana wa bwana wako wapo pamoja nawe, nawe una […]