Yoeli 1

1 Neno laBwanaambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli. Uvamizi Wa Nzige 2 Sikilizeni hili, enyi wazee; sikilizeni, ninyi nyote mnaoishi katika nchi. Je, jambo kama hili lilishawahi kutokea katika siku zenu au katika siku za babu zenu? 3 Waelezeni watoto wenu, na watoto wenu wawaambie watoto wao, na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata. 4 Kilichosazwa […]

Yoeli 2

Jeshi La Nzige 1 Pigeni tarumbeta katika Sayuni; pigeni mbiu katika mlima wangu mtakatifu. Wote waishio katika nchi na watetemeke, kwa kuwa siku yaBwanainakuja. Iko karibu, 2 siku ya giza na huzuni, siku ya mawingu na utusitusi. Kama mapambazuko yasambaavyo toka upande huu wa milima hata upande mwingine jeshi kubwa na lenye nguvu linakuja. Jambo […]

Yoeli 3

Mataifa Yahukumiwa 1 “Katika siku hizo na wakati huo, nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu, 2 nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta # katika Bonde la Yehoshafati. Hapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yao kuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli, kwa kuwa waliwatawanya watu wangu miongoni mwa mataifa na kuigawa nchi yangu. 3 Wanawapigia kura watu wangu […]