1 Wakorintho 1

Salamu 1 Paulo, aliyeitwa kwa mapenzi ya Mungu kuwa mtume wa Yesu Kristo na Sosthene ndugu yetu. 2 Kwa Kanisa la Mungu lililoko Korintho, kwa wale waliotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa kuwa watakatifu, pamoja na wale wote ambao kila mahali wanaliitia Jina la Kristo Yesu Bwana wetu, aliye Bwana wao na wetu pia: 3 Neema […]

1 Wakorintho 2

Kumtangaza Kristo Aliyesulibiwa 1 Ndugu zangu nilipokuja kwenu, sikuja na maneno ya ushawishi wala hekima ya hali ya juu nilipowahubiria siri ya Mungu. 2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu cho chote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Yesu Kristo, naye amesulibiwa msalabani. 3 Mimi nilikuja kwenu nikiwa dhaifu na mwenye hofu na kwa kutetemeka sana. 4 Kuhubiri […]

1 Wakorintho 3

Kuhusu Mgawanyiko Katika Kanisa 1 Ndugu zangu, mimi sikuweza kusema nanyi kama watu wa kiroho, bali kama watu wa mwilini, kama watoto wachanga katika Kristo. 2 Naliwanywesha maziwa, wala si chakula kigumu, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa hicho chakula kigumu. Naam, hata sasa hamkiwezi. 3 Kwa maana ninyi bado ni watu wa mwilini. Kwa kuwa […]

1 Wakorintho 4

Mawakili Wa Siri Za Mungu 1 Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. 2 Zaidi ya hayo, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu. 3 Lakini kwangu mimi ni jambo dogo sana kwamba nihukumiwe na ninyi au na mahakama yo yote ya kibinadamu. Hata mimi mwenyewe sijihukumu. […]

1 Wakorintho 5

Mwasherati Atengwe 1 Kuna habari za kweli kwamba miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujatokea hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake. 2 Nanyi mwajivuna! Je, haiwapasi kuhuzunika na kumtenga na ushirika wenu mtu huyo aliyefanya mambo hayo? 3 Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika […]

1 Wakorintho 6

Kushtakiana Miongoni Mwa Waamini 1 Kama mtu ye yote wa kwenu ana ugomvi na mwenzake, anathubutuje kuupeleka kwa wasiomcha Mungu ili kuamuliwa badala ya kuupeleka kwa watakatifu? 2 Je, hamjui kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Nanyi kama mtauhukumu ulimwengu, je, hamwezi kuamua mambo madogo madogo? 3 Hamjui kwamba tutawahukumu malaika? Je, si zaidi mambo ya maisha […]

1 Wakorintho 8

Chakula Kilichotolewa Sadaka Kwa Sanamu 1 Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga. 2 Mtu ye yote anayedhani kwamba anajua kitu, hajui kama impasavyo kujua. 3 Lakini mtu ampendaye Mungu, hujulikana naye. 4 Hivyo basi, kuhusu kula chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua […]

1 Wakorintho 9

Haki Za Mtume 1 Je, mimi si huru? Je, mimi si mtume? Je, mimi sikumwona Yesu, Bwana wetu? Je, ninyi si matunda ya kazi yangu katika Bwana? 2 Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni chapa ya utume wangu katika Bwana. 3 Huu ndio utetezi wangu […]

1 Wakorintho 10

Onyo Kutoka Historia Ya Waisraeli 1 Zaidi ya hayo ndugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba baba zetu walikuwa wote chini ya wingu na kwamba wote walipita katikati ya bahari. 2 Wote wakabatizwa kuwa wa Mose ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari. 3 Wote walikula chakula kile cha roho, 4 na […]