Yona 1

Yona Anamkimbia Bwana 1 Neno laBwanalilimjia Yona mwana wa Amitai: 2 “Nenda katika mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri juu yake, kwa sababu uovu wake umekuja juu mbele zangu.” 3 Lakini Yona alimkimbiaBwanana kuelekea Tarshishi. Alishuka mpaka Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda melini na kuelekea Tarshishi ili […]

Yona 2

Maombi ya Yona Katika Tumbo la Nyangumi 1 Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwombaBwanaMungu wake. 2 Akasema: “Katika shida yangu nalimwitaBwana, naye akanijibu. # Kutoka kina cha kaburiniliomba msaada, nawe ukasikiliza kilio changu. 3 Ulinitupa kwenye kilindi, ndani kabisa ya moyo wa bahari, mikondo ya maji ilinizunguka, mawimbi yako yote na viwimbi vilipita […]

Yona 3

Yona Aenda Ninawi 1 Ndipo neno laBwanalikamjia Yona mara ya pili: 2 “Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.” 3 Yona akalitii neno laBwananaye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka. 4 Siku ya kwanza, Yona aliingia mjini. Akatangaza: “Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.” 5 Watu […]

Yona 4

Hasira ya Yona Kwa Ajili ya Huruma ya Bwana. 1 Lakini Yona alichukizwa sana akakasirika. 2 AkamwombaBwana, “EeBwana, hili si lile nililolisema nilipokuwa ningali nyumbani? Hii ndiyo sababu niliharikisha kukimbilia Tarshishi. Nikifahamu kuwa wewe ni Mungu mwenye neema na huruma, si mwepesi wa hasira na umejaa upendo, ni Mungu ambaye hughairi katika kupeleka maafa. 3 […]