Zekaria 1

Wito Wa Kumrudia Bwana 1 Katika mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario, neno laBwanalilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia, mwana wa Ido, kusema: 2 “Bwanaaliwakasirikia sana baba zako wa zamani. 3 Kwa hiyo waambie watu: Hivi ndivyoBwanaMwenye Nguvu Zote asemavyo: ‘Nirudieni mimi,’ asemaBwanaMwenye Nguvu Zote, ‘nami nitawarudia ninyi,’ asemaBwanaMwenye […]

Zekaria 2

Maono Ya Tatu: Mtu Mwenye Kamba Ya Kupimia 1 Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake! 2 Nikamwuliza, “Unakwenda wapi?” Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.” 3 Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye 4 na kumwambia: “Kimbia, umwambie yule kijana, ‘Yerusalemu […]

Zekaria 3

Maono Ya Nne: Mavazi Safi Kwa Ajili Ya Kuhani Mkuu 1 Kisha akanionyesha Yoshua, Kuhani Mkuu akiwa amesimama mbele ya malaika waBwana, naye Shetani amesimama upande wake wa kuume ili amshitaki. 2 Bwanaakamwambia Shetani, “Bwanaakukemee Shetani!Bwana, ambaye ameichagua Yerusalemu, akukemee! Je, mtu huyu siyo kijinga kinachowaka kilichonyakuliwa kwenye moto?” 3 Wakati huu, Yoshua alikuwa amevaa […]

Zekaria 4

Maono Ya Tano: Kinara Cha Taa Cha Dhahabu Na Mizeituni Miwili 1 Kisha malaika aliyezungumza nami akarudi na kuniamsha, kama mtu aamshwavyo kutoka katika usingizi wake. 2 Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikajibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu tupu, nacho kina bakuli juu yake na taa zake saba juu yake, tena iko mirija saba ya kuleta […]

Zekaria 5

Maono Ya Sita: Kitabu Kinachoruka 1 Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka! 2 Akaniuliza, “Unaona nini?” # Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirinina upana wa dhiraa kumi.” 3 Akaniambia, “Hii ni laana inayotoka kwenda juu ya nchi yote, kwa kuwa kufuatana na yale yaliyoandikwa katika upande mmoja, kila […]

Zekaria 6

Maono Ya Nane: Magari Manne Ya Vita 1 Nikatazama juu tena: nikaona mbele yangu magari manne ya vita yakija kutoka kati ya milima miwili, milima ya shaba! 2 Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi, 3 la tatu lilivutwa na farasi weupe na gari la nne lilivutwa na farasi […]

Zekaria 7

Haki Na Rehema, Sio Kufunga 1 Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Dario, neno laBwanalilimjia Zekaria siku ya nne ya mwezi wa tisa, mwezi wa Kisleu. 2 Watu wa Betheli walikuwa wamemtuma Shareza na Regam-Meleki pamoja na watu wao, kumsihiBwana 3 kwa kuwauliza makuhani wa nyumba yaBwanaMwenye Nguvu Zote na manabii, “Je, imempasa […]

Zekaria 8

Bwana Anaahidi Kuibariki Yerusalemu 1 Neno laBwanaMwenye Nguvu Zote likanijia tena. 2 Hili ndilo asemaloBwanaMwenye Nguvu Zote: “Nina wivu sana kwa ajili ya Sayuni, ninawaka wivu kwa ajili yake.” 3 Hili ndilo asemaloBwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima waBwanaMwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.” 4 Hili ndilo […]

Zekaria 9

Hukumu Juu Ya Adui Za Israeli Neno 1 Neno laBwanaliko kinyume na nchi ya Hadraki na Dameski itakuwa mahali pa kupumzika, kwa kuwa macho ya watu na ya kabila zote za Israeli yako kwaBwana, 2 pia juu ya Hamathi inayopakana nayo, juu ya Tiro na Sidoni, ingawa wana ujuzi mwingi sana. 3 Tiro amejijengea ngome […]

Zekaria 10

Bwana Ataitunza Yuda 1 MwombeniBwanamvua wakati wa vuli; ndiyeBwanaatengenezaye mawingu ya tufani. Huwapa watu manyunyu ya mvua, pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. 2 Sanamu huzungumza udanganyifu, waaguzi huona maono ya uongo; husimulia ndoto ambazo si za kweli, wanatoa faraja batili. Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo walioonewa kwa kukosa mchungaji. 3 […]