Kumbukumbu La Torati 2

Kutangatanga Jangwani 1 Kisha tukageuka nyuma na kusafiri kuelekea jangwani kwa njia inayoelekea Bahari ya Shamu, kamaBwanaalivyonielekeza. Kwa muda mrefu tulitembea kuzunguka vilima katika nchi ya Seiri. 2 KishaBwanaakaniambia, 3 “Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini. 4 Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya […]

Kumbukumbu La Torati 3

Kushindwa Kwa Ogu Mfalme Wa Bashani 1 Kisha tukageuka tukakwea kufuata barabara iliyoelekea Bashani, Ogu mfalme wa Bashani akaondoka na jeshi lake lote kupigana na sisi huko Edrei. 2 Bwanaakaniambia, “Usimwogope kwa kuwa nimekwisha mkabidhi mikononi mwako pamoja na jeshi lake lote na nchi yake. Umfanyie sawasawa na ulivyomfanyia Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala […]

Kumbukumbu La Torati 4

Waamriwa Utii 1 Sikia sasa, Ee Israeli, amri na sheria nitakazokufundisha wewe. Zifuate ili upate kuishi na uingie kuimiliki nchi ambayoBwana, Mungu wa baba zako anawapa. 2 Usiongeze wala usipunguze cho chote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo yaBwanaMungu wenu ambayo nawapa. 3 Mliona kwa macho yenu wenyewe kileBwanaalichokifanya kule Baal-Peori.BwanaMungu wenu aliwaangamiza kutoka miongoni mwenu […]

Kumbukumbu La Torati 6

Mpende Bwana Mungu Wako 1 Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazoBwanaMungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki, 2 ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamcheBwanaMungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu. 3 […]

Kumbukumbu La Torati 7

Kuyafukuza Mataifa 1 BwanaMungu wako akuletapo katika nchi unayoiingia ili kuimiliki na awafukuzapo mbele yako mataifa mengi, yaani, Wahiti, Wagirgashi, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, mataifa saba makubwa tena yenye nguvu kuliko wewe, 2 piaBwanaMungu wako atakapowatia mkononi mwako na ukawashinda, basi ni lazima uwaangamize wote kabisa. Usifanye agano nao, usiwahurumie. 3 Usioane nao. […]

Kumbukumbu La Torati 8

Usimsahau Bwana 1 Uwe mwangalifu kufuata kila agizo ninalokupa wewe leo, ili mweze kuishi, kuongezeka na mweze kuingia mkamiliki nchi ambayoBwanaaliahidi kwa kiapo kwa baba zenu. 2 Kumbuka jinsiBwanaMungu wenu alivyowaongoza katika njia yote katika jangwa kwa miaka hii arobaini, kukunyenyekeza na kukujaribu ili ajue lililoko moyoni mwako, kwamba utayashika maagizo yake au la. 3 […]

Kumbukumbu La Torati 10

Vibao Vingine Vya Amri Kumi 1 Wakati uleBwanaaliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao. 2 Nitaandika juu ya vibao maneno yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza, ambavyo ulivivunja. Kisha utaviweka ndani ya Sanduku.” 3 Hivyo nikatengeneza Sanduku kwa mti wa mshita, nikachonga pia […]