Sefania 1

1 Neno laBwanaambalo lilimjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda: Onyo La Maangamizi Yanayokuja 2 Bwanaasema, “Nitafagia kila kitu kutoka kwenye uso wa dunia.” 3 “Nitafagilia mbali watu na wanyama; nitafagilia mbali ndege wa angani na samaki […]

Sefania 2

1 Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu, 2 kabla ya wakati ulioamuriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali yaBwanahaijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu yaBwana haijaja juu yenu. 3 MtafuteniBwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi, ninyi ambao hufanya lile analoamuru. Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu; labda mtahifadhiwa siku […]

Sefania 3

Hatima Ya Yerusalemu 1 Ole wa mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi! 2 Hautii mtu ye yote, haukubali maonyo. HaumtumainiBwana, haukaribii karibu na Mungu wake. 3 Maafisa wake ni simba wangurumao, watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni, ambao hawabakizi cho chote kwa ajili ya asubuhi. 4 Manabii wake ni wenye kiburi, ni wadanganyifu. […]