Mambo ya Walawi 4

Sadaka Ya Dhambi 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli: ‘Mtu ye yote afanyapo dhambi bila kukusudia na akatenda lile lililokatazwa katika amri yo yote yaBwana: 3 “ ‘Ikiwa kuhani aliyetiwa mafuta amefanya dhambi na kuwaletea watu hatia, lazima alete kwaBwanafahali mchanga asiye na dosari, kuwa sadaka ya dhambi kwa ajili ya dhambi aliyotenda. 4 Atamkabidhi […]

Mambo ya Walawi 6

Kurudisha Kilichochukuliwa 1 Bwanaakamwambia Mose: 2 “Kama mtu ye yote akitenda dhambi naye si mwaminifu kwaBwanakwa kumdanganya jirani yake kuhusu kitu fulani alichokabidhiwa au kimeachwa chini ya utunzaji wake au kimeibwa, au kama akimdanganya, 3 au akiokota mali iliyopotea na akadanganya au kuapa kwa uongo, au kama akitenda dhambi yo yote ambayo watu waweza kuitenda; […]

Mambo ya Walawi 8

Kuwekwa Wakfu Kwa Aroni Na Wanawe 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Mletee Aroni na wanawe mavazi yao, mafuta ya upako, fahali kwa ajili ya sadaka ya dhambi, kondoo waume wawili na kikapu chenye mikate iliyotengenezwa bila chachu, 3 kisha kusanya mkutano wote kwenye ingilio la Hema la Kukutania.” 4 Mose akafanya kamaBwanaalivyomwagiza, mkutano ukakusanyika kwenye ingilio […]