2 Petro 1

1 Simoni Petro mtumishi na mtume wa Yesu Kristo: Kwa wale ambao kwa njia ya haki ya Mungu na Mwokozi wetu Yesu Kristo mmepokea imani iliyo na thamani kama yetu: 2 Neema na amani iwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu. Wito Wa Mkristo Na Uteule 3 Uweza wake wa uungu […]

2 Petro 2

Walimu Wa Uongo Na Uangamivu Wao 1 Lakini pia waliinuka manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama vile watakavyokuwako walimu wa uongo miongoni mwenu, ambao kwa siri, wataingiza mafundisho yasiyopatana na kweli hata kumkana Bwana wa pekee aliyewanunua na kujiletea juu yao maangamizi ya haraka. 2 Hata hivyo, wengi watafuata njia zao za ufisadi ambao […]

2 Petro 3

Ahadi Ya Kuja Kwa Bwana 1 Wapenzi, huu ndio waraka wangu wa pili ninaowaandikia. Katika nyaraka hizi mbili ninajaribu kuziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha kwamba, 2 nataka ninyi mkumbuke maneno yaliyosemwa zamani na manabii watakatifu na ile amri ya Bwana na Mwokozi mliyopewa kupitia kwa mitume wenu. 3 Kwanza kabisa, ni lazima mfahamu ya […]