Habakuki 1

1 Neno alilopokea nabii Habakuki. Lalamiko La Habakuki 2 EeBwana, hata lini nitakuomba msaada, lakini wewe husikilizi? Au kukulilia, “Udhalimu!” Lakini hutaki kuokoa? 3 Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma? Kwa nini unavumilia makosa? Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu; kuna mabishano na mapambano kwa wingi. 4 Kwa hiyo sheria imepotoshwa, nayo haki haipo kabisa. Waovu […]

Habakuki 2

1 Nitasimama katika zamu yangu na kujiweka mwenyewe juu ya maboma; nitatazama nione atakaloniambia, na ni jibu gani nitakalotoa kuhusu lalamiko hili. Jibu La Bwana 2 KishaBwanaakajibu: “Andika ufunuo huu na ukaufanye wazi juu ya vibao ili mpiga mbiu akimbie nao. 3 Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika; unazungumzia mambo ya mwisho na kamwe […]

Habakuki 3

Maombi Ya Habakuki 1 Sala ya nabii Habakuki iliyoimbwa kwa shigionothi. 2 Bwana, nimezisikia sifa zako, nami naogopa, EeBwana. Fufua kazi yako katikati ya miaka, katikati ya miaka tangaza habari yako; katika ghadhabu kumbuka rehema. 3 Mungu alitoka Temani, yeye aliye Mtakatifu kutoka Mlima Parani. Utukufu wake ulifunika mbingu na sifa zake zikaifunika dunia. 4 […]