2 Wakorintho 11

Paulo Na Mitume Wa Uongo 1 Laiti mngechukuliana nami kidogo katika upumbavu wangu! Naam, chukulianeni nami. 2 Ninawaonea wivu, wivu wa Kimungu, kwa kuwa mimi niliwaposea mume mmoja, ili niwalete kwa Kristo kama mabikira safi. 3 Lakini nina hofu kuwa, kama vile Eva alivyodanganywa kwa ujanja wa yule nyoka, mawazo yenu yasije yakapotoshwa, mkauacha unyofu […]

2 Wakorintho 12

Maono Ya Paulo Na Mwiba Aliokuwa Nao 1 Yanipasa nijisifu, ingawa haifaidii kitu. Nitaenda kwenye maono na ufunuo kutoka kwa Bwana. 2 Namjua mtu mmoja katika Kristo ambaye miaka kumi na minne iliyopita alichukuliwa juu hadi mbingu ya tatu. Kama ni katika mwili au nje ya mwili, sijui, Mungu ajua. 3 Nami najua ya kwamba […]

2 Wakorintho 13

Maonyo Ya Mwisho 1 Hii ndiyo mara ya tatu nikija kwenu. “Shtaka lo lote lazima lithibitishwe na mashahidi wawili au watatu.” 2 Nimekwisha kuwaonya nilipokuwa pamoja nanyi mara ya pili. Sasa narudia wakati sipo, kwamba nikija tena sitawahurumia wale waliokuwa wametenda dhambi hapo awali na wengine wote, 3 kwa kuwa mnadai uthibitisho kwamba Kristo anazungumza […]