Nehemiah 11

Wakazi Wapya Wa Yerusalemu 1 Basi, viongozi wa watu waliokaa Yerusalemu na watu wengine, walipiga kura mtu mmoja kati ya watu kumi aje kuishi Yerusalemu, mji mtakatifu, wengine tisa waliobaki ilikuwa wakae katika miji yao wenyewe. 2 Watu waliwasifu wale wote waliojitolea kuishi Yerusalemu. 3 Hawa ndio viongozi wa majimbo waliokuja kuishi Yerusalemu (baadhi ya […]

Nehemiah 12

Makuhani Na Walawi Waliorudi Na Zerubabeli 1 Hawa wafuatao walikuwa makuhani na Walawi ambao walirudi na Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na Yeshua: Seraya, Yeremia, Ezra, 2 Amaria, Maluki, Hatushi, 3 Shekania, Rehumu, Meremothi, 4 Ido, Ginethoni, Abiya, 5 Miyamini, Moadia, Bilga, 6 Shemaya, Yoyaribu, Yedaya, 7 Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hawa walikuwa viongozi […]

Nehemiah 13

Nehemia Afanya Matengenezo Ya Mwisho 1 Katika siku hiyo kitabu cha Mose kilisomwa kwa sauti kuu na watu wote wakasikia. Humo ilionekana imeandikwa kwamba hakuna Mwamori wala Mmoabi atakayeruhusiwa katika kusanyiko la watu wa Mungu, 2 kwa sababu hawakuwalaki Waisraeli kwa chakula na maji, badala yake walimwajiri Balaamu kuwalaani (lakini hata hivyo Mungu wetu aligeuza […]