Waebrania 11

Maana Ya Imani 1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni udhahiri wa mambo yasiyoonekana. 2 Naam, kwa imani baba zetu wa kale walishuhudiwa. 3 Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana viliumbwa kwa vitu visivyoonekana. Mfano Wa Abeli, Enoki Na Noa 4 Kwa imani Abeli […]

Waebrania 12

Mungu Huwaadibisha Wanawe 1 Kwa sababu hii, kwa kuwa tumezungukwa na wingu kubwa namna hii la mashahidi, basi na tuweke kando kila kitu kinachotuzuia na ile dhambi inayotuzinga kwa urahisi, nasi tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa kwa ajili yetu. 2 Basi na tumtazame sana Yesu mwanzilishi na mkamilishaji wa imani yetu, yeye […]

Waebrania 13

Huduma Inayompendeza Mungu 1 Upendo wa kidugu na udumu. 2 Msisahau kuwakaribisha wageni, kwa kuwa kwa kufanya hivyo, watu wengine waliwakaribisha malaika pasipo kujua. 3 Wakumbukeni wale waliofungwa gerezani kama vile nanyi mmefungwa pamoja nao, pia wakumbukeni wale wanaotendewa vibaya, kama vile ni ninyi wenyewe mnateswa. 4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi […]