Zekaria 11

1 Fungua milango yako, Ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! 2 Piga yowe, Ee mti wa msunobari, kwa kuwa mwerezi umeanguka; miti ya fahari imeharibiwa! Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, msitu mnene umefyekwa! 3 Sikiliza yowe ya wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa! Wachungaji […]

Zekaria 12

Maadui Wa Yerusalemu Kuangamizwa 1 Hili ni neno laBwanakuhusu Israeli.Bwana, yeye azitandaye mbingu, awekaye misingi ya dunia na aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake, asema: 2 “Nitakwenda kufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewalewa kwa mataifa yote yanayoizunguka. Yuda utazingirwa kwa vita na Yerusalemu pia. 3 Katika siku hiyo, wakati mataifa yote ya dunia yatakapokusanyika dhidi […]

Zekaria 13

Kutakaswa Dhambi 1 “Katika siku hiyo, chemchemi itafunguliwa kwa nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu, kuwatakasa dhambi na unajisi. 2 “Katika siku hiyo, nitayakatilia mbali majina ya sanamu kutoka nchi, nayo hayatakumbukwa tena,” asemaBwanaMwenye Nguvu Zote. “Nitaondoa manabii wao pamoja na roho ya uchafu katika nchi. 3 Ikiwa yupo ye yote atakayeendelea kutabiri, baba […]

Zekaria 14

Bwana Yuaja Kutawala 1 Siku yaBwanainakuja ambayo nyara zilizotekwa kwenu zitagawanywa miongoni mwenu. 2 Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini. 3 KishaBwanaatatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya […]