Mithali 31

Mithali Za Mfalme Lemueli 1 Mithali za Mfalme Lamueli, mausia ya mama yake aliyomfundisha: 2 “Ee mwanangu, Ee mwana wa tumbo langu, # Ee mwana wa nadhiri zangu, 3 Usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. 4 “Ee Lemueli, haifai wafalme, haifai wafalme kunywa mvinyo, haifai watawala kutamani sana kileo, 5 […]