Zaburi 121

Bwana Mlinzi Wetu (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Nayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu hutoka kwaBwana, Muumba wa mbingu na dunia. 3 Hatauacha mguu wako uteleze, yeye akulindaye hatasinzia, 4 hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. 5 Bwanaanakulinda, Bwanani uvuli wako mkono wako wa kuume, 6 jua […]

Zaburi 122

Sifa Kwa Yerusalemu (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Nilishangilia pamoja na wale walioniambia, “Twende katika nyumba yaBwana.” 2 Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama malangoni mwako. 3 Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja. 4 Huko ndiko makabila hukwea, makabila yaBwana, kulisifu jina laBwanakulingana na maagizo waliopewa Israeli. 5 Huko viti vya enzi vya hukumu […]

Zaburi 123

Kuomba Rehema (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Ninayainua macho yangu kwako, kwako wewe ambaye kiti cha enzi kiko mbinguni. 2 Kama vile macho ya watumwa yatazamavyo mkono wa bwana wao, kama vile macho ya mtumishi wa kike yatazamavyo mkono wa bibi yake, ndivyo macho yetu yamtazamavyoBwanaMungu wetu, mpaka atakapotuhurumia. 3 Uturehemu, EeBwana, uturehemu, kwa maana […]

Zaburi 124

Shukrani Kwa Ukombozi Wa Israeli (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 KamaBwanaasingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa: 2 kamaBwanaasingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia, 3 wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai, 4 Mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika, 5 maji yaendayo kasi yangalituchukua. 6 Bwanaasifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 7 […]

Zaburi 125

Usalama Wa Watu Wa Mungu (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Wale wamtumainioBwanani kama mlima Sayuni, ambao hauwezi kutikisika wadumu milele. 2 Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyoBwanaanavyowazunguka watu wake sasa na hata milele. 3 Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliopewa wenye haki, ili kwamba wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya. 4 EeBwana, […]

Zaburi 126

Kurejeshwa Kutoka Utumwani (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Bwanaalipowarejeza mateka Sayuni, tulikuwa kama watu walioota ndoto. 2 Vinywa vyetu vilijaa kicheko, ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, “Bwanaamewatendea mambo makuu.” 3 Bwanaametutendea mambo makuu, nasi tumejaa furaha. 4 EeBwana, turejeshee watu wetu waliotekwa, kama vijito katika Negebu. 5 Wapandao kwa […]

Zaburi 127

Bila Mungu, Kazi Ya Mwanadamu Haifai (Wimbo Wa Kwenda Juu. Wa Solomoni) 1 Bwanaasipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. Bwanaasipoulinda mji, walinzi wakesha bure. 2 Mnajisumbua bure kuamka mapema na kuchelewa kulala, mkitaabikia chakula: kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 3 Wana ni urithi utokao kwaBwana, watoto ni zawadi kutoka kwake. 4 Kama mishale […]

Zaburi 128

Thawabu Ya Kumtii Bwana (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Heri ni wale wote wamchaoBwana, waendao katika njia zake. 2 Utakula matunda ya kazi yako; baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao katika nyumba yako; wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni kuizunguka meza yako. 4 Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchayeBwana. […]

Zaburi 129

Maombi Dhidi Ya Adui Wa Israeli (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Wamenionea mno tangu ujana wangu; Israeli na aseme sasa: 2 wamenionea mno tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda. 3 Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. 4 LakiniBwanani mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu. 5 Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe […]

Zaburi 130

Kuomba Msaada (Wimbo Wa Kwenda Juu) 1 Kutoka katika vilindi ninakulilia, EeBwana, 2 EeBwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie. 3 Kama wewe, EeBwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, EeBwana, ni nani angeliweza kusimama? 4 Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa. 5 NamngojeaBwana, nafsi yangu inangojea, katika neno […]