2 Samweli 21

Wagibeoni Wanalipiza Kisasi 1 Wakati wa utawala wa Daudi kulikuwa na njaa kwa miaka mitatu mfululizo, kwa hiyo Daudi akautafuta uso waBwana.Bwanaakasema, “Ni kwa sababu ya Sauli na nyumba yake iliyotiwa madoa ya damu, kwa sababu aliwaua Wagibeoni.” 2 Mfalme akawaita Wagibeoni na kuzumgumza nao. (Wagibeoni hawakuwa wa wana wa Israeli, ila walikuwa mabaki ya […]

2 Samweli 22

Wimbo Wa Daudi Wa Sifa 1 Daudi akamwimbiaBwanamaneno ya wimbo huu hapoBwanaalipomwokoa kutoka katika mkono wa adui zake wote, pia kutoka katika mkono wa Sauli. 2 Akasema: “Bwanani mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, 3 Mungu wangu ni mwamba wangu, ambaye kwake nakimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, […]

2 Samweli 23

Maneno Ya Mwisho Ya Daudi 1 Haya ni maneno ya mwisho ya Daudi: “Neno la Daudi mwana wa Yese, neno la mtu aliyeinuliwa na Aliye Juu Sana, mtu aliyepakwa mafuta na Mungu wa Yakobo, mwimbaji wa nyimbo wa Israeli: 2 “Roho waBwanaalinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa ulimini mwangu. 3 Mungu wa Israeli alinena, mwamba […]

2 Samweli 24

Daudi Ahesabu Wapiganaji 1 Hasira yaBwanaikawaka tena dhidi ya Israeli, naye akamchochea Daudi dhidi yao, akisema, “Nenda ukawahesabu Israeli na Yuda.” 2 Kwa hiyo mfalme akamwambia Yoabu, pamoja na majemadari wengi wa jeshi aliokuwa nao, “Nendeni kwa makabila yote ya Israeli kuanzia Dani hadi Beer-Sheba na mwandikishe watu wapiganaji, ili niweze kujua idadi yao.” 3 […]