Ezekieli 31

Mwerezi Katika Lebanoni 1 Katika mwaka wa kumi na moja, mwezi wa tatu, siku ya kwanza, neno laBwanalikanijia, kusema: 2 “Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake ya wajeuri: “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa na wewe katika fahari. 3 Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, ukiwa na matawi mazuri ukitia […]

Ezekieli 32

Maombolezo Kwa Ajili Ya Farao 1 Katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Mungu likanijia kusema: 2 “Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Farao mfalme wa Misri na umwambie: “ ‘Wewe ni kama simba miongoni mwa mataifa, wewe ni kama joka kubwa baharini, unayevuruga […]

Ezekieli 33

Wajibu Wa Ezekieli Kuwa Mlinzi Kwa Watu Wake 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, sema na watu wako uwaambie, ‘Nitakapoleta upanga dhidi ya nchi, nao watu wa nchi wakamchagua mmoja wa watu wao na kumfanya awe mlinzi wao, 3 naye auonapo upanga unakuja dhidi ya nchi na kupiga tarumbeta kuonya watu, 4 kama mtu ye […]

Ezekieli 34

Wachungaji Na Kondoo 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, tabiri juu ya wachungaji wa Israeli, tabiri na uwaambie: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Ole wa wachungaji wa Israeli ambao hujitunza wenyewe tu! Je, haiwapasi wachungaji kutunza kundi la kondoo? 3 Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi. 4 Hamkuwatia […]

Ezekieli 35

Unabii Dhidi Ya Edomu 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya mlima Seiri, utabiri dhidi yake 3 na useme: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, Ee mlima Seiri, nami nitanyosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika. 4 Nitaifanya miji yako kuwa magofu nawe […]

Ezekieli 36

Unabii Kwa Milima Ya Israeli 1 “Mwanadamu, itabirie milima ya Israeli na useme, ‘Ee milima ya Israeli, sikieni neno laBwana. 2 Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Kwa sababu adui wanasema juu yako, “Aha! Mahali palipoinuka pa zamani pamekuwa milki yetu.” ’ 3 Kwa hiyo tabiri na useme, ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Kwa sababu wamewafanya ukiwa na kuwagandamiza kila […]

Ezekieli 37

Bonde La Mifupa Mikavu 1 Mkono waBwanaulikuwa juu yangu, naye akanitoa nje kwa Roho waBwanana kuniweka katikati ya bonde lililokuwa limejaa mifupa tele. 2 Akanipitisha pande zote kwenye hiyo mifupa, nami nikaona mifupa mingi sana ndani ya lile bonde, mifupa iliyokuwa imekauka sana. 3 Akaniuliza, “Mwanadamu, mifupa hii yaweza kuishi?” Nikajibu, “EeBwanaMwenyezi, wewe peke yako […]

Ezekieli 38

Unabii Dhidi Ya Gogu 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya Gogu, katika nchi ya Magogu, mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali, tabiri dhidi yake 3 na useme: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Ee Gogu, mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali. 4 Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukutia ndoana […]

Ezekieli 39

Majeshi Ya Gogu Yataangamizwa 1 “Mwanadamu, tabiri dhidi ya Gogu useme: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Ee Gogu mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali. 2 Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukuburuta. Nitakuleta kutoka kaskazini ya mbali na kukupeleka wewe dhidi ya milima ya Israeli. 3 Kisha nitaupiga upindi wako kutoka mkono wako wa […]

Ezekieli 40

Eneo La Hekalu Jipya 1 Katika mwaka wa ishirini na tano wa uhamisho wetu, mwanzoni mwa huo mwaka, siku ya kumi ya mwezi, katika mwaka wa kumi na nne baada ya kuanguka kwa mji, siku hiyo hiyo mkono waBwanaulikuwa juu yangu, naye akanipeleka huko. 2 Nikiwa katika maono ya Mungu alinichukua mpaka nchi ya Israeli, […]