Ezekieli 21

Babeli, Upanga Wa Mungu Wa Hukumu 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, uelekeze uso wako juu ya Yerusalemu na uhubiri dhidi ya mahali patakatifu. Tabiri dhidi ya nchi ya Israeli 3 uiambie: ‘Hili ndiloBwanaasemalo: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu. 4 Kwa sababu nitamkatilia […]

Ezekieli 22

Dhambi Za Yerusalemu 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, je, wewe utauhukumu? Je, utauhukumu huu mji umwagao damu? Basi uujulishe juu ya matendo yake yote ya machukizo 3 uuambie: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Ee mji ule ujileteao maangamizi wenyewe kwa kumwaga damu ndani yake na kujinajisi wenyewe kwa kutengeneza sanamu, 4 umekuwa na hatia kwa sababu […]

Ezekieli 23

Dada Wawili Makahaba 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, walikuwepo wanawake wawili, binti wa mama mmoja. 3 Wakawa makahaba huko Misri, wakajitia kwenye ukahaba tangu ujana wao. Katika nchi ile vifua vyao vya ubikira vikakumbatiwa huko na wakapoteza ubikira wao. 4 Mkubwa aliitwa Ohola na mdogo wake Oholiba. Walikuwa wangu nao wakazaa wavulana na msichana. […]

Ezekieli 24

Chungu Cha Kupikia 1 Katika mwaka wa tisa, mwezi wa kumi, siku ya kumi, neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, weka kumbukumbu ya tarehe hii, tarehe hii hasa, kwa kuwa mfalme wa Babeli ameuzingira mji wa Yerusalemu kwa jeshi siku hii ya leo. 3 Iambie nyumba hii ya kuasi fumbo, na uwaambie, ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: “ […]

Ezekieli 25

Unabii Dhidi Ya Amoni 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Waamoni utabiri dhidi yao. 3 Waambie, ‘Sikieni neno laBwanaMwenyezi. Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Kwa sababu ulisema, “Aha!” Juu ya mahali pangu patakatifu palipotiwa unajisi na juu ya nchi ya Israeli ilipoangamizwa na juu ya watu wa Yuda walipokwenda uhamishoni, 4 kwa […]

Ezekieli 26

Unabii Dhidi Ya Tiro 1 Mwaka wa kumi na moja, siku ya kwanza ya mwezi, neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, kwa sababu Tiro amesema kuhusu Yerusalemu, ‘Aha! Lango la kwenda kwa mataifa limevunjika, nayo milango yake iko wazi mbele yangu, sasa kwa kuwa amekuwa magofu nitastawi.’ 3 Kwa hiyo hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: Mimi niko kinyume […]

Ezekieli 27

Maombolezo Kwa Ajili Ya Tiro 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro. 3 Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.” 4 Mipaka yako ilikuwa katika moyo wa bahari, wajenzi wako […]

Ezekieli 28

Unabii Dhidi Ya Mfalme Wa Tiro 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: “ ‘Kwa sababu moyo wako umejivuna na umesema, “Mimi ni mungu; nami ninaketi katika kiti cha enzi cha mungu katika moyo wa bahari.” Lakini wewe ni mwanadamu, wala si mungu, ingawa unafikiri kuwa una hekima kama […]

Ezekieli 29

Unabii Dhidi Ya Misri 1 Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili, neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Farao mfalme wa Misri na utabiri dhidi yake na dhidi ya Misri yote. 3 Nena, nawe useme: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: “ ‘Mimi ni kinyume nawe, Farao, mfalme wa […]

Ezekieli 30

Maombolezo Kwa Ajili Ya Misri 1 Neno laBwanalikanijia kusema: 2 “Mwanadamu, toa unabii na useme: ‘Hili ndiloBwanaMwenyezi asemalo: “ ‘Ombolezeni ninyi na mseme, “Ole wa siku ile!” 3 Kwa kuwa siku ile imekaribia, siku yaBwanaimekaribia, siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa. 4 Upanga utakuja dhidi ya Misri, nayo maumivu makuu yataijia Ethiopia. Mauaji […]