Mathayo 21

Yesu Anaingia Yerusalemu Kwa Shangwe 1 Walipokuwa wanakaribia Yerusalemu, wakafika Bethfage katika Mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu akawatuma wanafunzi wake wawili, 2 akiwaambia, “Ingieni katika kijiji kilichoko mbele yenu, nanyi mtakuta punda amefungwa na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee. 3 Kama mtu ye yote akiwasemesha lo lote, mwambieni kwamba Bwana ana haja nao, naye […]

Mathayo 22

Mfano Wa Karamu Ya Arusi 1 Yesu akasema nao tena kwa mifano, akawaambia, 2 “Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi. 3 Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja. 4 “Kisha akawatuma watumishi wengine akisema, ‘Waambieni wale walioalikwa kwamba karamu iko tayari kwa ajili yenu, […]

Mathayo 23

Yesu Awashutumu Walimu Wa Sheria Na Mafarisayo 1 Kisha Yesu akauambia ule umati wa watu pamoja na wanafunzi wake: 2 “Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose, 3 hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri. 4 Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka […]

Mathayo 24

Kubomolewa Kwa Hekalu Kwatabiriwa 1 Yesu akatoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya Hekalu. 2 Ndipo Yesu akawauliza, “Je, mnayaona haya yote? Amin, amin nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, kila moja litabomolewa.” Ishara Za Nyakati Za Mwisho 3 Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa […]

Mathayo 25

Mfano Wa Wanawali Kumi 1 “Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi. 2 Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara. 3 Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba, 4 lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba […]

Mathayo 26

Shauri Baya La Kumwua Yesu 1 Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake, 2 “Mnajua kwamba baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulibiwe.” 3 Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la Kuhani Mkuu, jina lake Kayafa. 4 Wakafanya shauri ili kumkamata […]

Mathayo 27

Yesu Aletwa Mbele Ya Pilato 1 Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri pamoja dhidi ya Yesu ili kumwua. 2 Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, ambaye alikuwa mtawala. Yuda Ajinyonga 3 Yuda, ambaye ndiye aliyekuwa amemsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa, akajuta na akarudisha vile vipande thelathini vya […]

Mathayo 28

Yesu Afufuka 1 Baada ya Sabato, alfajiri mapema siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kulitazama kaburi. 2 Ghafula pakawa na tetemeko kubwa la ardhi, kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni akaenda penye kaburi akalivingirisha lile jiwe na kulikalia. 3 Sura ya huyo malaika ilikuwa kama umeme na […]