Mathayo 11

Yesu Na Yohana Mbatizaji 1 Baada ya Yesu kumaliza kutoa maagizo kwa wale wanafunzi wake kumi na wawili, aliondoka hapo akaenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao. 2 Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristoalikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake 3 ili wakamwulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?” 4 Yesu akajibu, “Rudini mkamwarifu […]

Mathayo 12

Bwana Wa Sabato 1 Wakati huo Yesu alipitia kwenye mashamba ya ngano siku ya Sabato. Wanafunzi wake walikuwa na njaa, wakaanza kuvunja masuke ya ngano na kuyala. 2 Lakini Mafarisayo walipoona jambo hili, wakamwambia, “Tazama! Wanafunzi wako wanafanya jambo lisilo halali siku ya Sabato.” 3 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alichofanya Daudi na wenzake walipokuwa na […]

Mathayo 13

Mfano Wa Mpanzi 1 Siku iyo hiyo Yesu akatoka nje ya nyumba akaketi kando ya bahari. 2 Umati mkubwa mno wa watu ukakusanyika kumzunguka hata ikabidi aingie katika chombo na kuketi humo, nao watu wote wakawa wamesimama ukingoni mwa bahari. 3 Ndipo akawaambia mambo mengi kwa mifano, akisema: “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. 4 […]

Mathayo 14

Yohana Mbatizaji Akatwa Kichwa 1 Wakati huo, Mfalme Herode aliyekuwa mtawala alisikia habari kuhusu sifa za Yesu, 2 akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji, amefufuka kutoka kwa wafu! Hiyo ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.” 3 Herode alikuwa amemkamata Yohana akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa […]

Mathayo 15

Mapokeo Ya Wazee 1 Ndipo baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamjia Yesu kutoka Yerusalemu na kumwuliza, 2 “Mbona wanafunzi wako wanakiuka mapokeo ya wazee waliopita? Kwa maana wao hawanawi mikono yao kabla ya kula!” 3 Yesu akawajibu, “Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? 4 Kwa maana Mungu alisema, […]

Mathayo 16

Mafarisayo Wadai Ishara 1 Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Yesu na kumjaribu kwa kumwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. 2 Akawajibu akawaambia, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu,’ 3 nanyi wakati wa asubuhi mnasema, ‘Leo kutakuwa na dhoruba, kwa sababu anga ni nyekundu na mawingu yametanda.’ Mnajua jinsi ya kupambanua […]

Mathayo 17

Yesu Abadilika Sura Mlimani 1 Siku sita baada ya jambo hili, Yesu akawachukua Petro, Yakobo na Yohana ndugu yake Yakobo, na kuwaleta mpaka juu ya mlima mrefu mahali pasipo na watu. 2 Wakiwa huko, Yesu alibadilika sura mbele yao. Uso wake ukang’aa kama jua na nguo zake zikawa na weupe wa kuumiza macho. 3 Ghafula […]

Mathayo 18

Aliye Mkuu Katika Ufalme Wa Mbinguni 1 Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu na kumwuliza “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?” 2 Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. 3 Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni. 4 Kwa hiyo mtu ye […]

Mathayo 19

Yesu Afundisha Kuhusu Talaka 1 Yesu alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ng’ambo ya Mto Yordani. 2 Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko. 3 Baadhi ya Mafarisayo wakamjia ili kumjaribu wakamwuliza, “Ni halali mtu kumwacha mke wake kwa sababu yo yote?” 4 Akawajibu, “Je, hamkusoma kwamba hapo mwanzo Muumba […]

Mathayo 20

Mfano Wa Wafanyakazi Katika Shamba La Mizabibu 1 “Kwa maana Ufalme wa Mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba aliyetoka alfajiri ili kwenda kuajiri vibarua kufanya kazi katika shamba lake la mizabibu. 2 Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinarimoja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu. 3 “Mnamo saa tatu akatoka […]