2 Mambo ya nyakati 30

Hezekia Aadhimisha Pasaka 1 Hezekia akatuma ujumbe kuwaita Israeli wote na Yuda, pia akaandika barua kwa Efraimu na Manase, kuwakaribisha ili waje hekaluni mwaBwanahuko Yerusalemu kuadhimisha Pasaka kwaBwana, Mungu wa Israeli. 2 Mfalme na maafisa wake pamoja na kusanyiko lote katika Yerusalemu waliamua kuadhimisha Pasaka katika mwezi wa pili. 3 Kwa sababu makuhani hawakuwa wamejitakasa […]