2 Mambo ya nyakati 15

Asa Afanya Matengenezo 1 Roho waBwanaakamjia Azaria mwana wa Obedi. 2 Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini.Bwanayu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi. 3 Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha […]

2 Mambo ya nyakati 19

Mwonaji Yehu Amkemea Yehoshafati 1 Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu. 2 Yehu mwonaji, mwana wa Hanani, akapanda kwenda kuonana naye akamwambia Mfalme Yehoshafati, “Je, utawasaidia waovu na kuwapenda wale wanaomchukiaBwana? Kwa sababu ya jambo hili, ghadhabu yaBwanaiko juu yako. 3 Hata hivyo, kuna mema yaliyoonekana kwako, kwa […]

2 Mambo ya nyakati 20

1 Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati. 2 Watu fulani wakaja wakamwambia Yehoshafati, “Jeshi kubwa linakuja dhidi yako toka Edomu na ng’ambo ya Bahari. Tayari wako Hasason-Tamari” (ndio En-Gedi). 3 Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafutaBwana, akatangaza kwa Yuda wote kufunga. 4 Watu wa […]