Mambo ya Walawi 22

Matumizi Ya Sadaka Takatifu 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Mwambie Aroni na wanawe kushughulikia kwa uangalifu sadaka takatifu Waisraeli wanazoziweka wakfu kwangu, ili wasilinajisi Jina langu takatifu. Mimi ndimiBwana. 3 “Waambie: ‘Katika vizazi vijavyo, ikiwa ye yote wa wazao wako ni najisi kwa taratibu za kiibada, naye akakaribia sadaka takatifu Waisraeli wanazoziweka wakfu kwaBwana, mtu huyo […]

Mambo ya Walawi 23

Sikukuu Zilizoamuriwa 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Hizi ndizo sikukuu zangu zilizoamuriwa, sikukuu zilizoamuriwa zaBwana, ambazo mtazitangaza kuwa makusanyiko matakatifu. Sabato 3 “ ‘Kuna siku sita mnazoweza kufanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, siku ya kusanyiko takatifu. Hamtafanya kazi yo yote, po pote mnapoishi, ni Sabato kwaBwana. […]

Mambo ya Walawi 26

Thawabu Ya Utii 1 “ ‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, mnara, wala jiwe la kuabudia, pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimiBwanaMungu wenu. 2 “ ‘Zishikeni Sabato zangu na kuheshimu mahali patakatifu pangu. Mimi ndimiBwana. 3 “ ‘Ikiwa mtafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii maagizo yangu, […]