Mambo ya Walawi 14

Kutakasa Kutoka Maambukizo Ya Magonjwa Ya Ngozi 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Haya ndiyo masharti yamhusuyo mtu mgonjwa wakati wa kufanyiwa ibada ya utakaso wakati aletwapo kwa kuhani: 3 Kuhani atakwenda kumchunguza nje ya kambi. Kama mtu huyo atakuwa amepona ugonjwa wake wa ngozi wa kuambukiza, 4 kuhani ataagiza vitu vifuatavyo viletwe kwa ajili ya mtu […]

Mambo ya Walawi 15

Kutokwa Na Umajimaji Usababishao Unajisi 1 Bwanaakawaambia Mose na Aroni, 2 “Semeni na Waisraeli na mkawaambie: ‘Wakati mtu ye yote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi. 3 Iwe kwamba unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi: 4 “ ‘Kitanda cho chote atakacholala mtu mwenye […]

Mambo ya Walawi 18

Uhusiano Wa Kukutana Kimwili Kinyume Cha Sheria 1 Bwanaakamwambia Mose, 2 “Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mimi ndimiBwanaMungu wenu. 3 Msifanye kama wafanyavyo huko Misri, mahali mlipokuwa mnaishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani, mahali ninapowapeleka. Msifuate matendo yao. 4 Ni lazima mzitii sheria zangu, nanyi iweni waangalifu kuzifuata amri zangu. Mimi ndimiBwanaMungu wenu. […]