1 Mambo ya Nyakati 11

Daudi Atiwa Mafuta Kuwa Mfalme Wa Israeli 1 Israeli yote walimjia Daudi kwa pamoja huko Hebroni wakamwambia, “Sisi ni nyama yako na damu yako. 2 Wakati wote uliopita, hata wakati Sauli alipokuwa mfalme, wewe ndiwe uliyeiongoza Israeli vitani, nayeBwanaMungu wako alikuambia, ‘Wewe utawachunga watu wangu Israeli, na utakuwa mtawala wao.’ ” 3 Wazee wote wa […]

1 Mambo ya Nyakati 15

Sanduku La Agano Laletwa Yerusalemu 1 Baada ya Daudi kujijengea nyumba zake katika Mji wa Daudi, akatengeneza sehemu kwa ajili ya Sanduku la Mungu, kisha akasimamisha hema kwa ajili yake. 2 Kisha Daudi akasema, “Hakuna mtu ye yote anayeruhusiwa kulibeba Sanduku la Mungu isipokuwa Walawi peke yao, kwa sababuBwanaaliwachagua kulibeba Sanduku laBwanana kuhudumu mbele zake […]

1 Mambo ya Nyakati 18

Ushindi Wa Daudi 1 Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, akautwaa Gathi pamoja na vijiji vinavyouzunguka kutoka katika utawala wa Wafilisti. 2 Daudi akawashinda pia Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru. 3 Zaidi ya hayo, Daudi akapigana na Hadadezeri mfalme wa Soba, hadi Hamathi, wakati alipokwenda kuimarisha utawala wake katika Mto […]

1 Mambo ya Nyakati 20

Kutekwa Kwa Raba 1 Mwanzoni mwa mwaka mpya, wakati ambapo wafalme hutoka kwenda vitani, Yoabu aliliongoza jeshi. Aliangamiza nchi ya Waamoni akaenda Raba na kuuzunguka huo mji kwa Jeshi, lakini Daudi alibaki Yerusalemu. Yoabu akaushambulia Raba na kuuacha ukiwa magofu. 2 Daudi akachukua taji kutoka kwenye kichwa cha mfalme wao, uzito wake ulikuwa talanta mojaya […]