2 Wafalme 11

Athalia Na Yoashi 1 Wakati Athalia mamaye Ahazia alipoona kwamba mwanawe amekufa, akainuka na kuiangamiza jamaa yote ya kifalme. 2 Lakini Yehosheba, binti wa Mfalme Yehoramu ambaye ni dada yake Ahazia, akamtwaa Yoashi mwana wa Ahazia kwa siri kutoka miongoni mwa wana wa kifalme, ambao walikuwa karibu kuuawa. Akamweka Yoashi pamoja na yaya wake ndani […]

2 Wafalme 12

Yoashi Anakarabati Hekalu 1 Katika mwaka wa saba wa kutawala kwake Yehu, Yoashi alianza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka arobaini. Jina la mama yake aliitwa Sibia, kutoka Beer-Sheba. 2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza. 3 Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa, watu waliendelea […]

2 Wafalme 13

Yehoahazi Mfalme Wa Israeli 1 Katika mwaka wa ishirini na tatu wa kutawala kwake Yoashi mwana wa Ahazia mfalme wa Yuda, Yehoahazi mwana wa Yehu alianza kutawala Israeli katika Samaria, naye akatawala miaka kumi na saba. 2 Akafanya maovu machoni paBwanakwa kufuata dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda na wala […]

2 Wafalme 14

Amazia Mfalme Wa Yuda 1 Katika mwaka wa pili wa kutawala kwake Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli, Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda alianza kutawala. 2 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipokuwa mfalme, naye akatawala katika Yerusalemu miaka ishirini na tisa. Jina la mama yake aliitwa Yehoadani, kutoka Yerusalemu. […]

2 Wafalme 15

Azaria Mfalme Wa Yuda 1 Katika mwaka wa ishirini na saba wa kutawala kwake Yeroboamu mfalme wa Israeli Azaria mwana wa Amazia mfalme wa Yuda alianza kutawala. 2 Alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka hamsini na miwili. Jina la mama yake aliitwa Yekolia kutoka Yerusalemu. 3 […]

2 Wafalme 16

Ahazi Mfalme Wa Yuda 1 Katika mwaka wa kumi na saba wa kutawala kwake Peka mwana wa Remalia, Ahazi mwana wa Yothamu mfalme wa Yuda alianza kutawala. 2 Ahazi alikuwa na miaka ishirini alipoanza kutawala kama mfalme, naye akatawala katika Yerusalemu kwa miaka kumi na sita. Tofauti na Daudi baba yake, hakufanya yaliyo sawa mbele […]

2 Wafalme 17

Hoshea, Mfalme Wa Mwisho Katika Israeli 1 Katika mwaka wa kumi na mbili wa kutawala kwake Ahazi mfalme wa Yuda, Hoshea mwana wa Ela akawa mfalme wa Israeli katika Samaria, akatawala kwa miaka tisa. 2 Akafanya maovu machoni paBwana, lakini si kama wafalme wengine wa Israeli waliomtangulia. 3 Mfalme Shalmanesa wa Ashuru akainuka dhidi ya […]

2 Wafalme 18

Hezekia Mfalme Wa Yuda 1 Katika mwaka wa tatu wa kutawala kwake Hoshea mwana wa Ela mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi mfalme wa Yuda alianza kutawala. 2 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala katika Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Jina la mama yake aliitwa Abiya binti […]

2 Wafalme 19

Hezekia Autafuta Msaada Wa Bwana 1 Wakati Mfalme Hezekia aliposikia haya, akararua nguo zake na kuvaa nguo ya gunia, naye akaenda katika Hekalu laBwana. 2 Akamtuma Eliyakimu msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna mwandishi na makuhani viongozi, wote wakiwa wamevaa nguo ya gunia, waende kwa nabii Isaya mwana wa Amozi. 3 Wakamwambia, “Hivi ndivyo asemavyo […]

2 Wafalme 20

Ugonjwa Wa Hezekia 1 Katika siku zile, Hezekia akaugua na akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akamwendea na kusema, “Hivi ndivyoBwanaasemavyo: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.” 2 Hezekia akaelekeza uso wake ukutani akamwombaBwanaakisema, 3 “EeBwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na […]